Clouds TV mnatia aibu!

I hate clouds sababu ya kujifanya wanajua na kutuona c ka mabwege flan hvi....Mbwa tu
 
Ujumbe itakuwa umewafikia, ukimaliza hawa hamia michezo ITV
 

heshima nyingi sana kwako mkuu.
Hizi 'ngonjera' za wa kuiponda Clouds Media ni za muda mrefu sana humu,na kila mtu 'kujifanya' hasikilizi redio wala kuangalia TV yao!ajabu kabisa ikiwekwa mada hapa ndio haohao wanakuwa wa kwanza kuponda!
Na kwa aina hii ya 'ukosoaji' wanataka nao wajitofautishe kwa uelewa na hao wanaowakosoa!
 
I hate clouds sababu ya kujifanya wanajua na kutuona c ka mabwege flan hvi....Mbwa tu

teh teh teh teh....unauliza ni 'takataka' gani halafu hapohapo unadai una-'hate!?'...si mzima wewe,wahi kupimwa akili!
Cha mwisho,matusi hayaruhusiwi humu,jenga hoja tu utaeleweka vizuri zaidi!
 

teh teh teh teh....kwa 'wenye akili' umeonekana wewe ni 'hater' tu!,maana hitimisho lako halisadifu kabisa 'fact' uliyotoa!
 


Are u sure u are not bi tweluvu
 

hawa jamaa ni wanafiki na majungu tu ndo wanaweza juzi wametoa statistics za kinafiki na uongo eti clouds tv ndio kituo kinacho ongoza tz kwa kupendwa na kuangaliwa then itv kuna ukweli wowote kweli juu ya hili? binafsi hawa jamaa huwa siwaelewi kabisa angalia kile kipindi cha magazeti asubuhi ni unafiki na majungu tu
 
teh teh teh teh....kwa 'wenye akili' umeonekana wewe ni 'hater' tu!,maana hitimisho lako halisadifu kabisa 'fact' uliyotoa!

Kuna watu humu huwa mnadandia gari kwa mbele!! mimi wala sio kwamba nina chuki binafsi nao, ila haiwezekani kwenye taarifa ya habari ya saa 24,zilizopita uwe na habari moja tu?!!! ya kitaifa?? tena kituo chao kipo hapa dsm, ambapo kuna habari nyingi kulinganisha na mikoani, mbona kuna vituo kama tv1,chanel 10,citien, mlimani tv, wao kwa habari wanakuwa nazo japo si nzuri, ila zinakuwa angalau nyingi sio MOJA!!!!!! unaleta habari moja, ya kimataifa moja, eti na jicho la mwewe!! Kwanza hapi awali waliingia na style ya kuanza kusimulia kama hadithi hivi, ndio wanaioanisha na habari, wadau wakapaza sauti, naona siku hizi siioni,. kwa clouds tv hata kwa vipindi vingine bado sana, ukiacha sports bar, na afya check, vingine ni utumbo tu. Ndio maana nikasema SIO LAZIMA WAWE NA TAARIFA YA HABARI, kwa kuleta habari moja tu!!!
 

nikusaidie,kichwa cha 'sredi' umedai 'wanatia aibu!'...kwenye maelezo umeenda mbali kwa kudai 'wamekurupuka',ama kwa kifupi 'hawakujipanga!'......hivi mimi ndio nina tatizo navyo,hitimisho lako la 'wamekurupuka' halioani na 'fact' ya kuwa na habari moja,tena kwa mfano huo uliotoa!
Simply,jisome tena mwanzo,afu nisome tena hoja yangu ya awali!
Heshima kwako.
 
vpnd vzur vp mf sports bar, harakat, afya check...Vengne majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…