GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,619
- Uume wake una Kilo 56 ( sawa na mfuko wa Saruji / Cement )
- Akifanya tendo la Ndoa ( akibandua ) hutoa Shahawa za ujazo wa lita 5
- Akimaliza kufanya tendo la ndoa ( kubandua ) hutulia kwa Saa 3 ndipo hupata nguvu
- Mimba ya Tembo huwa ni ya miaka miwili ( 2 )
- Mtoto wa Tembo akizaliwa huwa na Kilo kati ya 77 hadi 109
- Tembo Dume hujua kama Jike yupo katika heat akiwa umbali wa Kilomita nne ( 4 )
- Kinyesi chake kawaida huwa ni cha ujazo wa Ndoo tatu ( 3 ) kubwa zile za maji.
Mwenyezi Mungu awabariki mzidi kuwa Wabunifu hivyo hivyo na mfanikiwe zaidi ya hapo Kiutendaji.