Clouds Tigo Fiesta kukiwasha Taifa

Tatizo lako Hassani Ngoma unapaniki mkuu
Lazima nipaniki....we huoni kama ni hatari dume zima linalialia eti "oooh wakabaji mara oooh wahuni,wakabaji"

Yaani laiti ningekuwa karibu nao ningepiga mtu makofi....maana wanatudhalilisha wanaume! Unaogopa Kibaka!!???..na dada yako aogope nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…