mlungula nahisi ulishapita kwa huyu aliyepiga faini. Mill 5 ndo utatangaza umempiga mtu faini...?akina mama ntilie na wanaopaki magari kkoo na town wanapigwa mifaini ya ajabu sembuse hawa wapbwatukaji wa baba mwanaasha.... Wasituchezee akili zetu hawa tcra ...
Mkuu, redio nzuri kusikiliza mtu makini ni RFA, Radio one, EAR( ondoa kipindi cha zembwela), Magic fm na TBC radio
What's 5m to Clouds? Ukweli ni kuwa Clouds is the farthest reaching media outlet in the country with the largest and most expansive listenership. Hakuna outlet nyingine inayoweza kuwafikia Clouds kwa ingenuity or creativity. Let's give credit where credit is due.Clouds oyee!
Exactly RFA The sound of Africa inatishaMkuu, redio nzuri kusikiliza mtu makini ni RFA, Radio one, EAR( ondoa kipindi cha zembwela), Magic fm na TBC radio
What's 5m to Clouds? Ukweli ni kuwa Clouds is the farthest reaching media outlet in the country with the largest and most expansive listenership. Hakuna outlet nyingine inayoweza kuwafikia Clouds kwa ingenuity or creativity. Let's give credit where credit is due.Clouds oyee!
uwe na aibu bas, ukizungumzia coverage RFA unaiachia wapi!?
Sababu ya wao kupigwa fine ni ipi?
redio ya wa2 oyeeeeeeeeee
if you could say wamesema kitu gani ndio wakapigwa faini ingependeza zaidi
Salsa milioni tano ni nini kwa clouds?
"Mjinga akikwambia jambo la kijinga ukamsikiliza na kulikubali atakuona wewe ni mjinga zaidi yake" Mwalimu nyerere
serikali dhaifu ni zao la jamii dhaifu, serikali ikifanya mambo ya kipuuzi ina akisi jinsi gani wananchi wake walivyo wapuuzi.
Hivyo ndivyo tulivyo watanzania Wajinga wanatuambia mambo ya kijinga tunayasikiliza na kuyakubali wanagundua sisi ni wajinga zaidi yao. watatutawala mpaka kufa. Nchi hii mambo ya kijinga yasiyo na tija kwa mtu na taifa ndo yanaongoza kwa kufatiliwa na kundi kubwa la watu. Tena hatari hata kundi ambalo ni tegemeo la mabadiliko (wasomi) nao wametumbukia huko ni hatari sana
Ndugu samahani kama nimetoka nje ya mada na nimekukera kwa kuongea lugha ngumu.cjaelewaa
nilikua nafatilia thread
ila nimefika apa nimeshindwa kurelate na topic