Clouds Media watapotea sokoni kama Sahara Media

Clouds Media watapotea sokoni kama Sahara Media

Hizo nishani na tuzo ni kwa vigezo vyao, ila ki ukweli ITV ya 90s to early 2000s ilikuwa zaidi ya hivi sasa, ITV ilikuwa inarusha world cup, Uefa, NBA, IAA sasa ipo kwa mazoea tu, inawezekana inapata tuzo kwa jina na nguvu za mzee baba wawili.
Hivyo vyote ulivyovitaja vina-exclusive rights kuonyeshwa kwenye TV in anabidi ilipwe hela kubwa, hivyo Kituo cha TV inabidi kipate mdhamini wa uhakika kurusha hewani au ITV iwe paytv baraka ya freetoair! Ndiyo maana DSTV wanaonyesha kwa vile wana wadhamini wa nguvu kama Coke Cola, Castle Lager, Sprite, Sumsung, n.k. lakini pia DSTV ni paytv unaweza nunua exclusive rights za hizo program au competitions (World Cup, EPL, NBA, UEFA, IAA, Uefa)....
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Mmmhhh ..... !!! Tangia wapigiwe simu na Mh Rais hawa Clouds Tv wamezidi kuharibu kwa kutafuta mijisifa
 
Bado mnawasikiliza hao mm niliacha toka alipotoka Sebastian Ndege, Masudi kipanya na yule dada alikuwa anajiita miss T, kwa sasa yangu ni EAST AFRICA FM na CAPITAL FM
 
Hivi vipindi vya redio vina targeted audience zake.... inawezekana ukasikia kipindi fulani kwenye redio fulani ukaboreka sana. Lakini kuna aina fulani ya watu wanasikiliza kipindi hicho hicho wanafurahia sana. Kuendesha radio siyo kazi ya mchezo jamani, manake kila siku unatakiwa uwe na ubunifu na ujaribu san kutoonesha wasikilizaji wako udhaifu wako wa ndani i.e matatizo ya wafanyakazi wako hayatakiwi yaji- reveal kwenye presentation ya vipindi. Kwa redio stations ambazo ni za kibiashara zilizopo Tanzania Clouds Fm wane-maintain standard as compared to others. Wanaweza kuwa na weaknesses ndogo ndogo kama mlizotaja hapo juu lakini they still control the industry. Nahisi jambo moja walilofanikiwa sana Clouds ni kutafuta watu wenye uzoevu wa kutosha kulingana na kila kipindi. Ukienda kwenye michezo wana watu wako well informed na ukiwasikiliza unaona unazungumza na watu wanaojua hiyo sekta. Ukienda kwenye burudani equally the same.... nafikiri tuwatie moyo kulko kuwakatisha tamaa
 
Back
Top Bottom