Clouds Media watapotea sokoni kama Sahara Media

mm1

JF-Expert Member
Aug 17, 2014
569
170
Clouds media walikuwa wanakuja vizuri sana TZ na East Afrca katika soko la media,tatizo la kufukuza fukuza watu na bifu zisizo na msingi watapotea kama Sahara Media walivyopotea sasahivi.
 
kama kuna station imukuwa hovyo ni star tv, haina mvuto kabisa kama zamani, prog zao hovyo kabisa. Watafute mkurugeni mpya wa vipindi huyu walie nae ni 0.

Kwa clouds tv nafikiri walilewa sifa sasa wale watangazaji wao nguli wakaanza kuchomoka.

Wote nadhani mnaikumbuka itv ya zamani chini ya wakina Brother miki na charles ilarry a.k.a mkwanga. Miaka ya 95 - 2002 ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Tulikuwa tunaona kupitia itv ipl.uefa champion league.caf champion league. World cup. Euro cap. Itv ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Lakini baada ya kuondoka wakina Brother mikidadi mahamudu na charles ilary. Itv ikawa hovyo kabisa chini ya bi joyce Mhavile.
 
Physically wapo,ila ubora na ufanisi wa matangazo yao sio kama awali.wameshuka.
ndio kupotea kwenyewe huko.
kweli mkuu nakumbuka mwaka 2007 kiss fm ilikuwa inasikilizwa hadi nchi jirani eg zambia,kenya,ug,rwanda kwA sabab ya communication media i.e English language.sahv vjana wa shule za kikwete wameharibu vipind wanaongea kiswanglsh had unachkia ukiwasklza
 
kama kuna station imukuwa hovyo ni star tv, haina mvuto kabisa kama zamani, prog zao hovyo kabisa. Watafute mkurugeni mpya wa vipindi huyu walie nae ni 0.

Kwa clouds tv nafikiri walilewa sifa sasa wale watangazaji wao nguli wakaanza kuchomoka.

Wote nadhani mnaikumbuka itv ya zamani chini ya wakina Brother miki na charles ilarry a.k.a mkwanga. Miaka ya 95 - 2002 ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Tulikuwa tunaona kupitia itv ipl.uefa champion league.caf champion league. World cup. Euro cap. Itv ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Lakini baada ya kuondoka wakina Brother mikidadi mahamudu na charles ilary. Itv ikawa hovyo kabisa chini ya bi joyce Mhavile.

Hapana napinga! Itv ya joyce mhavile inazoa tuzo balaa na hadi sasa bado ni super brand africa mashariki. Watembelee pale mwenge wakuonyeshe tuzo zao hata majirani zao Channel 10,startv,Clouds tv wanaona wivu
 
Hizo nishani na tuzo ni kwa vigezo vyao, ila ki ukweli ITV ya 90s to early 2000s ilikuwa zaidi ya hivi sasa, ITV ilikuwa inarusha world cup, Uefa, NBA, IAA sasa ipo kwa mazoea tu, inawezekana inapata tuzo kwa jina na nguvu za mzee baba wawili.
 
Hahaha mi Nafkiri alivoingia joyce ameibadilisha na ameifanya ITV ya sasa kuwa ya sana sana Habari,Series Programs(maigizo) ,programs za kijamii na burudani kidoogo ndo mana inakula tuzo na matangazo(wadhamini) kibao! So uskute labda walikua wanapata gharama za kurusha live hizo mechi na matangazo faida ndogo so ya nini kupata tabu? Wakavunja bodi kaingia kifaa matunda hayooo!
 
mkuu asante kwa kunisaidia kwa kumjibu huyo ndugu. Yaelekea umri wake miaka hiyo alikuwa bado ananyonya.

Lakini sisi tunajua itv ilivyokuwa miaka iyo ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Niukweli kwamba wakati mwingine kufanya kazi kimazoea ni mbaya sana kuliko kufanya kwa ubunifu.

Station za kitanzania, wanakosa ubunifu, kutokana na kufanya kazi kimazoea.

Ndiyo maana dstv ni the best in Africa. Wanajua ni nini maana ya biashara.

Walipokuja Azam tv tukajua huyu bwana atakuja na ubunifu wa hali ya juu, utakaotuamisha kutoka dstv na kuja kwa mzalendo mwenzetu.

Naye amekuwa hovyo kabisa, sijui watanzania wanakosa nini kwenye swala la ubunifu!
 
kama kuna station imukuwa hovyo ni star tv, haina mvuto kabisa kama zamani, prog zao hovyo kabisa. Watafute mkurugeni mpya wa vipindi huyu walie nae ni 0.

Kwa clouds tv nafikiri walilewa sifa sasa wale watangazaji wao nguli wakaanza kuchomoka.

Wote nadhani mnaikumbuka itv ya zamani chini ya wakina Brother miki na charles ilarry a.k.a mkwanga. Miaka ya 95 - 2002 ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Tulikuwa tunaona kupitia itv ipl.uefa champion league.caf champion league. World cup. Euro cap. Itv ilikuwa moto wa kuotea mbali.

Lakini baada ya kuondoka wakina Brother mikidadi mahamudu na charles ilary. Itv ikawa hovyo kabisa chini ya bi joyce Mhavile.

Joyce Mhavile amekuwa mkurugenzi pale ITV tangu 1995 kama sikosei ja mpaka leo yupo.
Labda wewe ni mpenzi wa mpira na uenda kwa sasa hawaoneshi lakoni lazima utambue kuna ushindani na suala la mikataba. Ndio maana AZAM hawaoneshi UK premier Leugue sababu za kisheria.
 
Hahaha mi Nafkiri alivoingia joyce ameibadilisha na ameifanya ITV ya sasa kuwa ya sana sana Habari,Series Programs(maigizo) ,programs za kijamii na burudani kidoogo ndo mana inakula tuzo na matangazo(wadhamini) kibao! So uskute labda walikua wanapata gharama za kurusha live hizo mechi na matangazo faida ndogo so ya nini kupata tabu? Wakavunja bodi kaingia kifaa matunda hayooo!
Mmmh
Mkuu inawezekana kuendesha haya mambo inahitaji mambo mengi zaidi. Ila kwa sasa nimebaki kuangalia taarifa ya habari tu, na Isidingo .
Enzi zile tuliona akina Egoli a place Gold, Living Single, kitimoto ilikuwa kiti moto hadi watu warusha Mic wanasusa! Siku hizi marumbano ya hoja - watu walewale hao waandishi/ watangazaji hawana hoja pia kama wageni wao, kipimojoto mzee Masako ni anaboa kuliko badala ya kuongoza kipindi unakutwa anaongozwa na wageni wake.
Haya ndg nyie vuneni hio faida ila mmh ITV ya sasa siyo kama ile ya zamani.
 
cloud ilikuw vizuri sana kwenye kipindi cha power breakfast lakini sasa hakuna kitu wanaotoma vichwa vya magazeti ndio bure kabisa hawajui hata kusoma kiswahili jamani hao watu mmewatoa wapi?nakumbuka majuzi hapo raisi alikisifia kipindi cha power breakfast sasa leo mnaharibu kweli mkiendelea hivi tunazidi kuondoka kuwasikiliza
 
Sikubalian na wewe maana hujatoa sababu inaonyesha ni majungu tu
 
Back
Top Bottom