Clouds Media ni referee wa game ya muziki hapa Tanzania?

Kuna kitu ni mazoea tu
na uoga
clouds hawana nguvu hiyo
tena hili liko toka zamani...

kama unaijua historia ya bongofleva utajua kuwa kuna mtu anaitwa G lover
huyu alikuwa na label inaitwa G records
ambayo Mr Blue ndo alitokea huko na wasanii wengine tele..

enzi za G lover hakuwahi kuwanyeyekea clouds kabisa
yeye alihakikisha wasanii wake wanakuwa na video nzuri
na wasanii wake wali hit zaidi kupitia channel 5...

hata sasa ambako kuna instagram facebook na kadhalika
sioni kama clouds wana nguvu hivyo...

ingawa ni kweli walikuwa na mtandao wa fitna kwa watu wenye beef nao
lakini tumona Sugu na Jaydee wote wamegombana nao na still wako vizuri...

Professa Jay pia mbona hadi siasa amefanikiwa?

all in all Clouds hawana nguvu hiyo.....ingawa fitna wanazo pia
mfano now wao ndo wanamtangaza sana Ali Kiba kama 'king Kiba'
lakini still Diamond haathiriki kivile.....
I agree with u ila ni lazima kukubali kuwa jamaa wana nguvu kuliko station nyingine,

Ingawa kiukweli kwa ulimwengu huu wa sasa, wa instagram ,fb, etc etc, na wenye milango iliyofunguka had Tv station za nje, msanii anaesema hatoki sababu anabaniwa na hawa jamaa ni mwongo ,

Na kingine lawana nyingi mimi huwa nazipeleka kwa mameneja ***** wa redio station nyingine ambazo zimeshindwa kucompete na hawa jamaa.
 
Mkuu ni ukweli usiofichika kwenye Game na media Tanzania clouds wana ushawishi mkubwa na kibaya vituo vingi vimekubali kutafunwa na hii ideology

Dozen kawaharibu zaidi ya 60% ya watangazaji wa vipindi vya mchana wote wanataka kufanya kama yeye

Wasanii waliozinguana na clouds wote walikubali kwamba wakati wa migogoro yao na clouds wanapitia misoto na hali ngumu sana ya maisha kwa nini wakati vituo ni vingi?

Malalamiko juu ya clouds ni mengi tena mengi sana na labda kuna ya kweli na mengine ndio vile kwa kusingiziwa kutokana na system yao ya kumpandisha mtu leo na kumpiga chini kesho kiukweli kwa hili wanazingua sana ila watafanya nini wakati vituo vingine vimelala na dunia inahitajika kwenda kasi?!

Bado nasisitiza lawama zangu bado ni kwenye vituo vingine vya radio vimelala sana havina ubunifu ndio maana clouds wanawaburuza kwa kukamata fursa kitu ambacho ni kibaya kwa tabaka la chini ila sahihi sana kwa dunia ya leo

Radio Station Amkeniiiiiiii
Yaaan kuna redio inaitwa times FM yaan hii redio mwanzoo ilikuwa na mvuto ilaaa now hkn kituu tenaa
 
Kuna kitu ni mazoea tu
na uoga
clouds hawana nguvu hiyo
tena hili liko toka zamani...

kama unaijua historia ya bongofleva utajua kuwa kuna mtu anaitwa G lover
huyu alikuwa na label inaitwa G records
ambayo Mr Blue ndo alitokea huko na wasanii wengine tele..

enzi za G lover hakuwahi kuwanyeyekea clouds kabisa
yeye alihakikisha wasanii wake wanakuwa na video nzuri
na wasanii wake wali hit zaidi kupitia channel 5...

hata sasa ambako kuna instagram facebook na kadhalika
sioni kama clouds wana nguvu hivyo...

ingawa ni kweli walikuwa na mtandao wa fitna kwa watu wenye beef nao
lakini tumona Sugu na Jaydee wote wamegombana nao na still wako vizuri...

Professa Jay pia mbona hadi siasa amefanikiwa?

all in all Clouds hawana nguvu hiyo.....ingawa fitna wanazo pia
mfano now wao ndo wanamtangaza sana Ali Kiba kama 'king Kiba'
lakini still Diamond haathiriki kivile.....
Uoga ndo unawafanya wawanyenyekee hawa jamaa..Na mtu ukimnyenyekea ni rahisi sana kukutawala...Kuna wasanii hawaamini kama wanaweza kuandaa show zao binafsi na zikafanya poa..Wengi wanasubiri show za kuitwa...
Mnashindwa vipi wasanii kadhaa mkajikusanya mkaandaa show yenu zen mkaenda radio stations mkalipia matangazo kwa ajili ya promo
 
Kuna kitu ni mazoea tu
na uoga
clouds hawana nguvu hiyo
tena hili liko toka zamani...

kama unaijua historia ya bongofleva utajua kuwa kuna mtu anaitwa G lover
huyu alikuwa na label inaitwa G records
ambayo Mr Blue ndo alitokea huko na wasanii wengine tele..

enzi za G lover hakuwahi kuwanyeyekea clouds kabisa
yeye alihakikisha wasanii wake wanakuwa na video nzuri
na wasanii wake wali hit zaidi kupitia channel 5...

hata sasa ambako kuna instagram facebook na kadhalika
sioni kama clouds wana nguvu hivyo...

ingawa ni kweli walikuwa na mtandao wa fitna kwa watu wenye beef nao
lakini tumona Sugu na Jaydee wote wamegombana nao na still wako vizuri...

Professa Jay pia mbona hadi siasa amefanikiwa?

all in all Clouds hawana nguvu hiyo.....ingawa fitna wanazo pia
mfano now wao ndo wanamtangaza sana Ali Kiba kama 'king Kiba'
lakini still Diamond haathiriki kivile.....

Mkuu una point japo kuna walakini kidogo

Huwezi kusema clouds hawana nguvu kwa mfano mmoja tu wa G.lover na hao wachache waliofanikiwa

Wakati kuna watu kibao kama Dozen anavyowabadilisha vijana kupitia vipindi vya mchana hapo sijakuelezea Dinna kwenye vipindi vya baada ya asubuhi

Wasanii waliotoboa huku wana beef na clouds ni wachache kuliko waliokwama kama
1.mapacha
2. Sugu
3.soggy dogg
4.................
5..................
6..................( mtamention vinega wengine)

Samahani lakini japo ukisema clouds hawana nguvu sikubaliani na wewe kabisa
 
Mkuu una point ila bado sijakuelewa kiukweli

Huwezi kusema clouds hawana nguvu kwa mfano mmoja tu wa G.lover

Wakati nimekuonyesha nguvu ya clouds kupitia watu kibao kana Dozen anavyowabadilisha vijana vipindi vya mchana hapo sijakuelezea Dinna kwenye vile vipindi vya mchana pia wasanii walipitia njia ngumu kwa kuzinguana na clouds kama
1.mapacha
2. Sugu
3.soggy dogg
4. Laddy Jay Dee
5.................
6..................
7..................( mtamention vinega wengine)

Samahani lakini japo ukisema clouds hawana nguvu sikubaliani na wewe kabisa

Deep down kuna kitu kuhusu clouds hujakielewa
clouds wanaweza mfanya msanii wa kawaida awe superstar mkubwa
wana uwezo wa kumpanisha chati...
wako very good kwenye promotion....

Lakini msanii akiwa mbovu hauziki hata clouds wambebe
Vinega kama unakumbuka walikuwa wanapewa support na redio zingine pia
lakini hawaku hit...hawauziki huo ndo ukweli...
sio kama hawana talent lakini soko limekuwa gumu
King Crazy GK clouds juzi tu walijaribu kumuuza wameshindwa
Fina Mango alikuwa presenter na alishindwa kubebwa
Adam Mcomvu ana nyimbo lakini imeshindikana kumbeba....the list is long

na wapo wasanii wengi tu clouds haikuwabeba kabisa lakini wame hit vibaya sana....
wao wenyewe wanajipeleka clouds baada ya ku hit
Ommy dimpoz ali hit bila clouds...n wengi tu
jiulize Sauti Sol na Kamilion wanabebwa na clouds?

kama una talent kubwa clouds is nothin...
ila kama talent ya kuunga unga wanaweza kukubeba wakakukufikisha sehemu fulani..
 
Mkuu nakubaliana na wew baadhi ya vitu upo sawa ila baadhi nakataa kidogo japo si kwa nia mbaya

Ommy dimpoz binafsi sijawahi kuona kipaji chake na clouds wamembeba sanaaa kupitia interview na matamasha yao

Ila speaking of adam pale ni tatizo hakuna kipaji ila bangi tu na magroup ya mapusha arusha wanamdanganya anaweza angalau fina kwa mbaliiiiii

Kuhusu hao intenational kama jose na saut hahahah fitna za clouds hazifiki kule waongee wanavyoweza kwenye hot 3 ila hawawezi kuwashusha watu wa Kenya na Uganda

Mwisho tukubaliane vituo vingine vyote vya radio vimelala sana kama leo wakiamua wanaweza kufanya vitu vikubwa basi tu clouds wametangulia kugundua siri flani kubwa juu ya media na haimaniishi wanachofanya ni makosa
 
Umenena vyema bro..Vituo vingi vya radio na wadau wengine wakubwa wa muziki wako doro ndo mana clouds inatamba sana...Embu fikiria unakuta msanii ndoto yake kubwa kwa mwaka ni kupanda jukwaa la fiesta...Na ikitokea hayuko kwenye list anajiona kama ana gundu au kabaniwa...Vipi tungekuwa na matamasha makubwa kama haya hata matano kwa mwaka yanayoandaliwa na wadau/vituo vya redio tofautitofauti..Ingesaidia sana kuleta changamoto

Mkuu nipo pamoja na wewe hapa nlishawaza sana kwa nin clouds kwa nini wao kila siku?

Mwisho nikagundua radio station nyingi zimelala katika dunia hii ya Google inatia hasira sana

Utakuta kitu kinatangazwa na radio za mikoani leo clouds walishatangaza siku tatu nyuma kwa nini?!....Bado Radio station hapa nyumbani zipo usingizin japo kuna baadhi zinajaribu kuamka!
 
Mkuu una point japo kuna walakin kifogo

Huwezi kusema clouds hawana nguvu kwa mfano mmoja tu wa G.lover na hao wachache waliofanikiwa

Wakati kuna watu kibao kama Dozen anavyowabadilisha vijana kupitia vipindi vya mchana hapo sijakuelezea Dinna kwenye vipindi vya baada ya asubuhi

Wasanii waliotoboa huku wana beef na clouds ni wachache kuliko waliokwama kama
1.mapacha
2. Sugu
3.soggy dogg
4.................
5..................
6..................( mtamention vinega wengine)

Samahani lakini japo ukisema clouds hawana nguvu sikubaliani na wewe kabisa
Nadhani na wasanii nao wenyewe wanachangia kukipa thamani hiki kituo..Msanii yeyote akiwa anangoma mpya anataka kuitambulisha kwanza Clouds kabla ya kuipeleka vituo vingine..Obviously mm kama msikilizaji nikisikia msanii flani ninayemkubali kuna nyimbo yake anaenda kuitambulisha kituo flani ntaisubiri hiyo interview kwa hamu...Nikishaisikia hapo hata akitoka na kwenda kituo kingine kuitambulisha sitakuwa na mzuka wa kufwatilia tena..So Clouds inakusanya wasikilizaji wengi kwa staili hii pia..Ambayo wasanii wenyewe ndo wanachangia
 
Sure broo tena hii nliwahi kuisikia (sina uhakika) kwamba unatakiwa ukitoka studio lazima kwanza nyimbo ipitie mawingu kabla ya station nyingine yoyote hapa duniani.

Ngoma ya kwanza ya Bele 9 sumu ya penzi iliwahi kukutwa na hili tatizo kwa kua ilianza kutambulishwa kanda ya ziwa na moro kabla ya kwao wakataka kuibania ila ndo basi ngoma ishakua kubwa

Ni stess sana hapa nyumbani wacha mimi nibaki na kina Ellie Gouldin, Zedd,Demi Lovato, Jason Mraz, Motraa na wengine kama hawa ambao wanajua na hawajulikan clouds
 
Mkuu nashindwa jinsi ya kuunganisha maneno ili yalete maana.

Ila muziki ni fitna, na kina Ruge wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuimanage.
Swali ni je,kwanini players wengine hawa ingii kwenye biashara ya music/entertainment ili kutoa ushindani?.E.g Reginald Mengi
 
Leo choka ka tweet anasikiza xxl. Ukiachana na ilo clouds radio kuna kitu wanacho ambacho radio zingine hazina zipo E fm walikuja vizuri wamepotea flani na kutosikika Tanzania nzima pia tatizo

E-FM walikosea tu pale walipo anza kupiga fleva na nyimbo za Nigeria only...mwanzoni walikuwa na choices kwa kupiga muziki wa dansi na miziki ya aina zote ila baada ya kuingia hewani rasmi wakaanza kuweka fleva na Nigerians music ndipo wasikilizaji including myself tukaanza kuwatema maana wamefuata mkumbo ule ule wa Clouds, badala ya kuwa different wao wanataka kukopi, what's the point? TBC Taifa ilififia kabisa ila kwa sasa inakuja juu kinoma kwa watu wengi kutaka kusikiliza nyimbo za nyumbani haswa muziki wa dansi.
 
Tatizo ni wasanii hawajitambui mkuu clouds inawaitaji wao kuliko wao wanavyoiitaji ila jamaa wamewashika akili na hii ni sababu ya Ujinga wa kutaka cheap publicity mtu km shilole nuhu ,linah unafikiri wanajua nn? Radio zingine wamiliki hawana Interest na muzik labda angekuwepo mtoto wa mengi
Sasa ruge ana digrii 2 atashindwaje kumcontrol shilole
 
Deep down kuna kitu kuhusu clouds hujakielewa
clouds wanaweza mfanya msanii wa kawaida awe superstar mkubwa
wana uwezo wa kumpanisha chati...
wako very good kwenye promotion....

Lakini msanii akiwa mbovu hauziki hata clouds wambebe
Vinega kama unakumbuka walikuwa wanapewa support na redio zingine pia
lakini hawaku hit...hawauziki huo ndo ukweli...
sio kama hawana talent lakini soko limekuwa gumu
King Crazy GK clouds juzi tu walijaribu kumuuza wameshindwa
Fina Mango alikuwa presenter na alishindwa kubebwa
Adam Mcomvu ana nyimbo lakini imeshindikana kumbeba....the list is long

na wapo wasanii wengi tu clouds haikuwabeba kabisa lakini wame hit vibaya sana....
wao wenyewe wanajipeleka clouds baada ya ku hit
Ommy dimpoz ali hit bila clouds...n wengi tu
jiulize Sauti Sol na Kamilion wanabebwa na clouds?

kama una talent kubwa clouds is nothin...
ila kama talent ya kuunga unga wanaweza kukubeba wakakukufikisha sehemu fulani..
Talent kubwa bila kuunganishwa na biashara ni kuipoteza muda,na hapo kwenye biashara ndipo Clouds wanapoingia.
Msanii kama Mangwea alikuwa very Talented, alifika wapi?.
 
Tatizo ni wasanii hawajitambui mkuu clouds inawaitaji wao kuliko wao wanavyoiitaji ila jamaa wamewashika akili na hii ni sababu ya Ujinga wa kutaka cheap publicity mtu km shilole nuhu ,linah unafikiri wanajua nn? Radio zingine wamiliki hawana Interest na muzik labda angekuwepo mtoto wa mengi
Sasa ruge ana digrii 2 atashindwaje kumcontrol shilole
Mkuu kwamba Clouds ina wahitaji wasanii zaidi, sidhani kumbuka Clouds inakiwanda chake cha kutengeneza wasanii wake,THT.
 
Mkuu kuihalisia inatakiwa kuwa hivyo..Kumbuka clouds ni radio ya kibiashara iliyojikita kwenye burudani zaidi..Burudani bila wasanii inakuwaje?..Clouds inawahitaji wasanii ndio..Ila mambo yako vise versa..Hivi wasanii wa THT wanaowika kwa sasa ni wapi?
 
Talent kubwa bila kuunganishwa na biashara ni kuipoteza muda,na hapo kwenye biashara ndipo Clouds wanapoingia.
Msanii kama Mangwea alikuwa very Talented, alifika wapi?.
Biashara haikatazwi mkuu..Ila ni vizuri ikafanywa katika misingi mizuri..Kila mtu akaridhika...Haya malalamiko ya wasanii yanaashiria kuwa kuna figisufigisu zinafanyika
 
Back
Top Bottom