Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

"kuimba kupokezana"
"kila zama zinamwisho wake"
"mbio za sakafuni huishia ukingoni"
"mfa maji haishi kutapatapa"
"kila jambo linamwisho wake"

hii misemo ukiitafakari wala hautalaumu watu tatizo ni kutokutaka kubadilika
wenzao -wanatoa mafuta bure
-show bure
siyo kama wanapenda ila soko ndio linataka ushindani
 
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment 957913


Zifungwe tu, Kwanza Clouds iko very useless...watazamaji wao wengi ni watoto na vijana wasio na ajira wala akili timamu.
 
Karma ndo inawatafuna hawa jamaa! Waligeuka kuwa Tibisii B kwa kuwabeza wapinzani na kukipigia debe ccm kipindi kile cha uchaguzi sasa waache wakomae na chama chao tena hao jamaa wa 360 ndo kabisaaa
 
Inabidi tukumbuke
"usipostuka Africa unaweza kuzikwa ukiwa hai"
"Binadamu hata ukimtii kama hakuhitaji ,hakuitaji tuu"
 
Kilicho msaidia Kikwete japo kidogo ni kabachelor degree kake kauchumi,akawa anaheshimu misingi na miiko ya kiuchumi.
Ambayo Obvious Mliiponda kwa kusema ni GPA ya 2.0 (Pass) Vijana wa BAVICHA akili zenu zipo Makalioni
 
Back
Top Bottom