Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,660
Likes
4,285
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,660 4,285 280
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment Inst-video-1.mp4
 
lysheer

lysheer

Senior Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
102
Likes
71
Points
45
lysheer

lysheer

Senior Member
Joined Mar 13, 2016
102 71 45
ata sio wa kuwaonea huruma ao..
sio mda utawakuta qenye campen kusaport kijani ambayo leo hii ndio imewafanya aya
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
14,910
Likes
4,395
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
14,910 4,395 280
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment 957913
Pascal Mayalla naye analia kiongozi anawaza kujenga tuu
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,262
Likes
5,363
Points
280
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,262 5,363 280
!
!
Sawa Sawa. Mooja Mmoja. Ni Swala La Nani Tu Atafatia. Habari Ziko Matatani. Bado Michezo Labda Hivi Vilabu.
 
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Messages
6,191
Likes
4,672
Points
280
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2013
6,191 4,672 280
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment 957913
Hivi hii local channel ndiyo nini?
 
M

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Messages
4,169
Likes
2,760
Points
280
M

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2015
4,169 2,760 280
Nimeshasema tena na tena kuwa nimekihama Chama Cha Mapinduzi kwa ridhaa yangu bila ya kununuliwa au kuhongwa na mtu yeyote.
umehamia chama gani mkuu?
 
Auz

Auz

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2016
Messages
4,112
Likes
2,619
Points
280
Auz

Auz

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2016
4,112 2,619 280
Kilicho msaidia Kikwete japo kidogo ni kabachelor degree kake kauchumi,akawa anaheshimu misingi na miiko ya kiuchumi.
Mchumi asiyejua kwa nini nchi (wananchi) ni maskini? Ni urembo, tu kuwa nae kafika chuo kikuu.
 
V

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
270
Likes
371
Points
80
V

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2018
270 371 80
Waongeze ubunifu kama wenzao wa magazeti
 
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
9,940
Likes
1,516
Points
280
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
9,940 1,516 280
Ngoma inogile
Nalog off
 
Masangutu

Masangutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
537
Likes
118
Points
60
Masangutu

Masangutu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
537 118 60
wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Ni rahisi tu mkuu,nikama vile unavyoona idadi ya viewers unapoweka status ya Whatsap.
 
AlP0L0

AlP0L0

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
4,345
Likes
1,527
Points
280
AlP0L0

AlP0L0

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
4,345 1,527 280
Wafunge tu coz hali imebadilika sana. Online tv zimekuwa nyingi mno,blogs, forums na vikorokoro kibao. Wakati huu unahitaji ubunifu wa hali ya juu sio mazoea. Zamani Radio kubwa zilikua Radio one, RFA, RTD. Leo hii kila kona kuna Radio na zinakimbiza. Tukubali hali imechange sana na TUKUBALI KUBADILIKA.
Mkuu wacha kuzunguka, sababu ni hii
sababu inajulikana na inahusiana moja kwa moja na aina ya utawala uliopo madarakani hivi sasa nchini.
Huu ndio ukweli.
 
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
10,320
Likes
8,164
Points
280
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
10,320 8,164 280
wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
JF wenyewe wjnalipwa kulingana na watu walioma tangazo.
 
S

Surveillance

Member
Joined
Dec 2, 2018
Messages
15
Likes
3
Points
5
S

Surveillance

Member
Joined Dec 2, 2018
15 3 5
Sifurahi lakini ndo ukweli, sasa hivi naangalia taarifa ya habari TV za Kenya, sasa hivi nyumba nzima inaongea rafudhi ya Kenya. Tanzania kuondoa local channels ni pigo kubwa kwa biashara na wafanyabiashara. Mimi binafsi natumia DSTV, sitarajii na sitegemei kufunga kadekoda ka star times nimekatupia stoo. Ni very low quality
 
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
1,594
Likes
451
Points
180
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
1,594 451 180
Wafunge tu coz hali imebadilika sana. Online tv zimekuwa nyingi mno,blogs, forums na vikorokoro kibao. Wakati huu unahitaji ubunifu wa hali ya juu sio mazoea. Zamani Radio kubwa zilikua Radio one, RFA, RTD. Leo hii kila kona kuna Radio na zinakimbiza. Tukubali hali imechange sana na TUKUBALI KUBADILIKA.
Wangapi wanaangalia online TV kwa bei hizi za bado?
 
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Messages
3,971
Likes
2,225
Points
280
Nelson nely

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2014
3,971 2,225 280
Wafunge tu...RTD ipo.
 
Forum statistics

Threads 1,237,059
Members 475,401
Posts 29,276,883