PetterIsuti
Senior Member
- Nov 29, 2014
- 118
- 28
NAONA SOUDY BROWN UMEKUJA KUTAFUTA WAJINGA WENZAKO HAPA, NAKUHAKIKISHIA HUU UZI UTAEXPIRE NDANI YA MASAA MACHACHE MAANA CLOUDS IMEPOTEZA FANBASE KUBWA SANA KWA KUBAGUA WASANIINajua wengi humu ni wadau wakubwa wa Clouds Media Group CMG, Hivyo nimeamua kuanzisha uzi huu uwe mahususi kwa ajili ya wadau waote wa Clouds popote walipo duniani, chochote kile ulichonacho kuhusu Clouds sio mbaya ukakiandika hapa.
Kumbuka hii Redio ilianzishwa December 2 Mwaka 1999 hvyo huu ni mwaka wa 20 tangu kuwepo kwa redio hii hapa Tanzania na imekuwa chachu kubwa sana kwa uwazishwaji wa redio nyingi hapa Nchini na pia bila kusahau hii Redio (media) imekuwa msitari wa mbele sana katka kuinua vipaji vingi sana vya wasanii hapa Nchini.
Mfano mzuri ni msanii kama Diamond amekulia na kulelewa ndani ya Clouds, Clouds ni baba wa burudani hapa nchini kupitia tamasha lao la Fiesta.
Heko kubwa sana kwa Clouds Media Group CMG.
Karibuni Wana jamvi na wadau wa Media hii tuzungumze hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuhuma ya kwamba "REDIO IMEJAA MASHOGA,WATANGAZAJI WANALIWA KAMA MBOGA" unaiongelea vipi?Najua wengi humu ni wadau wakubwa wa Clouds Media Group CMG, Hivyo nimeamua kuanzisha uzi huu uwe mahususi kwa ajili ya wadau waote wa Clouds popote walipo duniani, chochote kile ulichonacho kuhusu Clouds sio mbaya ukakiandika hapa.
Kumbuka hii Redio ilianzishwa December 2 Mwaka 1999 hvyo huu ni mwaka wa 20 tangu kuwepo kwa redio hii hapa Tanzania na imekuwa chachu kubwa sana kwa uwazishwaji wa redio nyingi hapa Nchini na pia bila kusahau hii Redio (media) imekuwa msitari wa mbele sana katka kuinua vipaji vingi sana vya wasanii hapa Nchini.
Mfano mzuri ni msanii kama Diamond amekulia na kulelewa ndani ya Clouds, Clouds ni baba wa burudani hapa nchini kupitia tamasha lao la Fiesta.
Heko kubwa sana kwa Clouds Media Group CMG.
Karibuni Wana jamvi na wadau wa Media hii tuzungumze hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unaipa kazi isiyofaa akili yako muda wote kuwaza nigative, ipe akili yako kuwaza postive before.NAONA SOUDY BROWN UMEKUJA KUTAFUTA WAJINGA WENZAKO HAPA, NAKUHAKIKISHIA HUU UZI UTAEXPIRE NDANI YA MASAA MACHACHE MAANA CLOUDS IMEPOTEZA FANBASE KUBWA SANA KWA KUBAGUA WASANII
WAJINGA WACHACHE SANA NDIO UTAWAPATA HAPA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba mpaka ujue mimi ni nani ndo maana nimesema huku ndank kuna wadau wakubwa sana wa Clouds na watu wa siku nyingi wanaijua Clouds b4 cha msingi hapa ni kuzumgumza mema na mabaya ili penye panafaa kujirekebishe tukosoe nia Redio iende mbele miaka mingine 20 ijayoWewe ni nani ndani ya CMG? Ni vzr tungejua ili tujue lipi tukuulize na lipi tusikuulize.
Hizo ni tuhumu tu kama ww ulivyosema ni tuhumu kama mhusika na yeye alivyotuhumiwa kuwa ni shoga.Tuhuma ya kwamba "REDIO IMEJAA MASHOGA,WATANGAZAJI WANALIWA KAMA MBOGA" unaiongelea vipi?
Ruge kama alivyosema Boss Joh yupo Afrika kusini anaendelea na matibabu ya ugonjwa unaomsibuUmesema kuuliza chochote? Ruge yuko wapi na anaendeleaje?
Kweli kabisa ndo maana hata Majizzo alisema game haina ushindani kwa kumukosa Ruge.I wish you quick recover Ruge Mutahaba
Hamna binadam mkamilifu ila bila ww industry hii inazubaa mno....no ubunifu...no ushindan....wamezubaaa
Naliona gap lako
Get well soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mawazo na fikra zako sio mbaya kufikria hvyoNAONA SOUDY BROWN UMEKUJA KUTAFUTA WAJINGA WENZAKO HAPA, NAKUHAKIKISHIA HUU UZI UTAEXPIRE NDANI YA MASAA MACHACHE MAANA CLOUDS IMEPOTEZA FANBASE KUBWA SANA KWA KUBAGUA WASANII
WAJINGA WACHACHE SANA NDIO UTAWAPATA HAPA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiujumla Vipindi karibia vyote ni vzr pale mjengoniPb,xxl & sports extra.
Vipindi bora sana kwangu.
Jahanzi hiki kipindi kinalenga watu gani mkuu?
Sawa Mkuu Nimekupata.Hizo ni tuhumu tu kama ww ulivyosema ni tuhumu kama mhusika na yeye alivyotuhumiwa kuwa ni shoga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu Nimekupata.
Kwanini humwamini ili hali ni kijana aliyeonyesha njia kwa vijana wengi?