Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,454
- 32,980
EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA
Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Emmanuel kasukumwa kuja kunihoji baada ya kusoma kitabu cha Abdul Sykes.
Muda ulikwenda haraka mno.
Nagutuka Emmanuel ananiambia ana audio na video ya zaidi ya saa moja ya mazungumzo:
View: https://youtu.be/McIe20TS-5Y?si=prow5tRLkJUFzevK