hii chanel ilipo kuwa free sijawahi kuiangalia ,leo ndiyo niweke kifurushi kwa kachanel hako ,amechemshaMkuu aisee hata me nimeshangaa jaman ndio hivyo tunaopenda ile channel inabidi tujiunge tu kwa shingo upande ila hawatutendei hakiii kabisaa
Wajinga ndiyo waliwao na kazi ya mjinga ni kuumia..!Mkuu aisee hata me nimeshangaa jaman ndio hivyo tunaopenda ile channel inabidi tujiunge tu kwa shingo upande ila hawatutendei hakiii kabisaa
Kuna nini cha maana kwenye hiyo chanel?Mkuu aisee hata me nimeshangaa jaman ndio hivyo tunaopenda ile channel inabidi tujiunge tu kwa shingo upande ila hawatutendei hakiii kabisaa
Zaidi ni movie tu za kibongo halaf jana nilikua sina usingizi nimejiunga niangalie fiestaKuna nini cha maana kwenye hiyo chanel?
Ingekuwa ndo hivyo hata Mengi na Bakhresa pia kwasababu hata wao wana pesa na bado zinawafata wangesema hata zao tuzilipie moja moja. Lakini naona Azam Sports2, Azam Sports HD, AMC, ITV n.k zote si bure ila ni katika vifurushi vyetu vya kawaida ila kwa Ruge hii ni hatari sana. Tamaa mbaya sana hii ama labda kafikiri huku Azam kuna wajinga kama anavyofanya huko kwingine na THT anavyowapiga. Huku kaula wa chuyaPesa zinamfuata mwenye pesa...
Ukikosa idea ya kuzalisha pesa usimulaumu mwinzio kumbuka yule ndio mzee wa kufungua fursa!!!
Ukweli mchungu!
Kazi mnayo.Zaidi ni movie tu za kibongo halaf jana nilikua sina usingizi nimejiunga niangalie fiesta
Eti anapromoti Fiesta yake ukitaka kuiona basi umlipe yeye kama yeye
Mkuu umetema YAI tupu jamaa ni mbunifu sanaPesa zinamfuata mwenye pesa...
Ukikosa idea ya kuzalisha pesa usimulaumu mwinzio kumbuka yule ndio mzee wa kufungua fursa!!!
Ukweli mchungu!
Acha kulalama....hiyo ni add-on channel, lipa hela uione....Ingekuwa ndo hivyo hata Mengi na Bakhresa pia kwasababu hata wao wana pesa na bado zinawafata wangesema hata zao tuzilipie moja moja. Lakini naona Azam Sports2, Azam Sports HD, AMC, ITV n.k zote si bure ila ni katika vifurushi vyetu vya kawaida ila kwa Ruge hii ni hatari sana. Tamaa mbaya sana hii ama labda kafikiri huku Azam kuna wajinga kama anavyofanya huko kwingine na THT anavyowapiga. Huku kaula wa chuya