Ndio maana nawambia kiba n mkali kuliko huyu dogo, kabika hawezi kutamka maneno ya mtoto wa form two anaesumbuliwa na barehe, uyu mondi hajakua bado.. kwaninia asijigunze kwa kaka yake aliefanikiwa kimaisha ali k, unadhan SONY wanaeza kumpa kazi mtu kama uyu, labda hao hao wauza chips mayai, pili pili kachumbali na tomato sosi...Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Chief usijaribu kumkosoa Simba hasa jukwaa hili maana watakuvamia,hapa Tz mashabiki wa Wema Sepetu na Simba wana akili zinazofanana wengi walistahili kua Dodoma ila majengo hayatoshi.
Ha ha haaaaaaaaaaaa,kwa kuongeza mkuu na pia simba wanajulikana kwa hasira sio tuu kuhamia S.A pia angeweza kung'oa viti pale studio aiseee.....Ila mtoto wa kiume akasemaje labda amekazwa kama hajakazwa? ??Wazee wa zamani walikuwa wanasema maneno huumba douh!!!!!Itakua kajeruhiwa sana na matajiri mpaka kapata hasira,naomba tuliache uyu kijana ni msanii bora kuwai kutokea duniani na hilo neno "Kukazwa" lijumuishwe kwenye kamusi yetu haraka sana msimkoroge Simba atahamia SA.
inawezekana akawa siriziki?.Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Very bad..
labda anatumia substance
Nafikiri huyu Nasibu anaanza kukosa adabu. Katika mahojiano ilifikia mahali akatishia kuingia 'Upinzani'.Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Aisee kumkaza so tajiri uyo ni wa kiume aliyekua anamaanisha auNilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
... Kwa nini sasa umeanzisha uzi kama huwezi kutueleza hata kwa tafsida amesema nini?Subiri wasio na midomo ya Ashakum watalisema, Kwangu mimi kulitamka dhambi kubwa.
Hawa ndio Wasanii wetu bwanaa... Jana alikuwa anapigiwa promo eti kwa nini hakualikwa Ikulu badala ya Christian Bella.... So sad...Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
So you can't take the ghetto outta him.😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
mtoto wa uswazi yule