Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli.
Ila kakosea kwa kutoa lugha chafu ambayo haikustahili kurushwa hewani na kwa umaarufu wake hakustahili kuitamka. Cha ajabu kina Gardner na wenzake wanacheka. Huyo mtu atawaponza kwa TCRA.
Usitegemee serikali itarudi na jibu la hasira kwa diamond....mwanasiasa anayejua siasa anatambua ni rahisi kwa mwanamuziki mwenye influence kubadili akili za walio wengi kuliko mwanasiasa kufanya hivyo....!!! Hata 2013 ht kabla ya uchaguzi ashawahi lalamika hilo ila wakati wa uchaguzi mwaka huu bosi wake alisema jambo limeshashugulikiwa baada ya ukawa kuanza kutumia post yake kwa faida za kisiasa....tegemea atanyamanzishwa bila ht ya sisi raia kujua kinachoendelea!!! NB: Mlezi wa wcb Paul Makonda (ana sababu ya kuwa pale zaidi ya ulezi.., rejea kuyeyuka kwa show ya oct 1 na kupigiwa debe kwa upandaji miti oct 1)Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli.
Ila kakosea kwa kutoa lugha chafu ambayo haikustahili kurushwa hewani na kwa umaarufu wake hakustahili kuitamka. Cha ajabu kina Gardner na wenzake wanacheka. Huyo mtu atawaponza kwa TCRA.
Moja ya kauli zake kwenye hii interview ni 'hatutaki kuhamia vyama vingine kwasababu tunaona hiki kina......' Yaani ni kama anatishia wakimbana atahamia upunzani. Kazi ipo.Usitegemee serikali itarudi na jibu la hasira kwa diamond....mwanasiasa anayejua siasa anatambua ni rahisi kwa mwanamuziki mwenye influence kubadili akili za walio wengi kuliko mwanasiasa kufanya hivyo....!!! Hata 2013 ht kabla ya uchaguzi ashawahi lalamika hilo ila wakati wa uchaguzi mwaka huu bosi wake alisema jambo limeshashugulikiwa baada ya ukawa kuanza kutumia post yake kwa faida za kisiasa....tegemea atanyamanzishwa bila ht ya sisi raia kujua kinachoendelea!!! NB: Mlezi wa wcb Paul Makonda (ana sababu ya kuwa pale zaidi ya ulezi.., rejea kuyeyuka kwa show ya oct 1 na kupigiwa debe kwa upandaji miti oct 1)
Wanasiasa wote wanafahamu nguvu ya wasanii kwenye ushawishi...usidhani hapa kina nape hawawazi watamtuliza vp....!!! inawezekana kilichomkera sio kudhulumiwa au serikali kutowajali bali ni kukatwa kodiMoja ya kauli zake kwenye hii interview ni 'hatutaki kuhamia vyama vingine kwasababu tunaona hiki kina......' Yaani ni kama anatishia wakimbana atahamia upunzani. Kazi ipo.
Kama msanii,tena mwenye hadhi ya Diamond, lazima uchague maneno ya kuongea. Hata kama umekasirishwa vipi ukikosea kuwasilisha ujumbe kuna madhara makubwa sana, ni afadhali akae kimya.For real diamond ameongea kwa uchungu sana f coarse siwez mlaumu kwa maneno aliyoongea kwan anaonesha ni kiasi gan anadhulumiwa na kaongea on behalf f other artists
Alienda mbal sana mpaka kutishia kukihama chama
Kilichomkera kiko wazi ni kodi ndio maana akatoa hio kauli. Bahati mbaya serikali hii kila mtu ataisoma namba hata wale waliotunga mapambio.Wanasiasa wote wanafahamu nguvu ya wasanii kwenye ushawishi...usidhani hapa kina nape hawawazi watamtuliza vp....!!! inawezekana kilichomkera sio kudhulumiwa au serikali kutowajali bali ni kukatwa kodi
Ok...sawaNimekudhalilisha au umejidhalilisha? Unaliza huoni cha ajabu mwanaume kukazwa? Put it the way you want we all know what he meant.
Sijui ndio maana nimeshangaa.Hivi wapo wasanii wanaok**wa bongo?
Duh mwenye sauti atuwekee puliziiiiNilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Hiyo itategemea kama wanaoendesha Vodacom kama wana akili tofauti na za Gardner au laKauli mbaya kwa image yake mwenyewe
makampuni kama vodacom yanaweza kum drop aanze kulia
Ukweli waga mchunguNilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?