Subiri wasio na midomo ya Ashakum watalisema, Kwangu mimi kulitamka dhambi kubwa.Kasema neno gani mkuu....litupie basi japo kwa kuweka * ****
I apologiseSubiri wasio na midomo ya Ashakum watalisema, Kwangu mimi kulitamka dhambi kubwa.
BanKwani mond si ndiyo alikua kimbele mbele wa kuimba nyimbo za kuisifia ccm?
Alalamike tu na wataisoma kweli.
Halafu na hao clouds watapigwa burned sasa hivi.
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli.
Ila kakosea kwa kutoa lugha chafu ambayo haikustahili kurushwa hewani na kwa umaarufu wake hakustahili kuitamka. Cha ajabu kina Gardner na wenzake wanacheka. Huyo mtu atawaponza kwa TCRA.
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Kumbuka ITV walipigwa fine wakati msigwa yuko liveNilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Kusema ukweli hii si kauli nzuri hata kidogo,tena kwenye live interview. Maneno machafu hivyo unawaambia wakusanya kodi?Very bad..
labda anatumia substance
Sasa hapo cha ajabu nini kama kakazwa kweli sisi tutajuajeNilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Kusema ukweli hii si kauli nzuri hata kidogo,tena kwenye live interview. Maneno machafu hivyo unawaambia wakusanya kodi?