Yes mnatakiwa kumshukuru Mungu kwa kuwakosesha fursa ya kusikiliza upuuzi wa akina Kibonde na Hando...
Kwani na huko Arusha mnaunga mkono ndoa za jinsia moja kama Clouds FM??
Clouds FM, the GAY'S Station,,,, ushahidi wa upo wazi kuwa wamelipishwa faini na karipio kali kwa kuchochea vitendo vya ushoga. Nashangaa watu wanasema hii ni supa brand!!!