Dr.Mo JF-Expert Member Joined Mar 28, 2012 Posts 3,809 Reaction score 1,653 Jun 9, 2013 #41 hayan majamaa nao ni ya kufilisi...kama hii nchi ikichukuliwa na watu wengine...filisi yote kabisa....yanatabia ya kusifu wasanii wakisha kufa bana..
hayan majamaa nao ni ya kufilisi...kama hii nchi ikichukuliwa na watu wengine...filisi yote kabisa....yanatabia ya kusifu wasanii wakisha kufa bana..
CPA JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 809 Reaction score 354 Jun 9, 2013 #42 Mbona mwana FA ni msomi lakini bado ametekwa na clouds, nasikia mpaka shoo yake kaweka tarehe moja na jide ili tu kumkomoa, tatizo sijui ni nini hawa wasanii wetu! Nilikua najua ni elimu lakini hata wasomi nao hawajitambui!
Mbona mwana FA ni msomi lakini bado ametekwa na clouds, nasikia mpaka shoo yake kaweka tarehe moja na jide ili tu kumkomoa, tatizo sijui ni nini hawa wasanii wetu! Nilikua najua ni elimu lakini hata wasomi nao hawajitambui!
simbamzeewamwakidila JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 1,447 Reaction score 379 Jun 9, 2013 #43 no comment