Clouds fm what do you learn from this

Wasanii wanasahau kuwa bila clouds fm kusingekuwa na bongo fleva wala sikinde sijui twanga nk nk usidharau mto kabla ya kuvuka
 

sports extra je?
 
wasanii ni wapumbavu mtakufa masikini esp nyinyi msio nashule wala shuhuli maalum nyingine zaidi ya muziki...cloudz kills u mazafakaz
 

Well, tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhani...
 
Hilo mbona cha mtoto tu, kuna mwanamuziki wa bendi fulani alishawahi kumkunjaga jamaa wa Clouds kwenye mnuso hadharani huku akimtuhumu yeye na mabosi wake ndiyo wanaoua muziki wa Tanzania wa asili kwa kubeza fleva na kupiga marufuku muziki wa dansi redioni kwao. Utashangaa wanafanya kampeni ya kupenda vya nyumbani wakati si kweli kwani fleva si muziki wa kwetu.
 
wasanii ni wapumbavu mtakufa masikini esp nyinyi msio nashule wala shuhuli maalum nyingine zaidi ya muziki...cloudz kills u mazafakaz


Ndo tatizo la wasanii wengi wa kibongo ni kuwa na ufinyu wa mawazo. Yaani wao bila Clouds wanadhani hawatofanikiwa. Clouds is there bcs of them na inabidi kuwashit na kuangalia kwengine. Oneni jinsi wanavyolazimisha kuua muziki wa dansi kwa kampeni na visingizio vya kijinga, matokeo yake ule muziki ndiyo unapendwa zaidi kuliko. Wamesahau kuwa asili haipotei.
 
Uonevu ni kitu kibaya sana, binafsi nawapongeza sana clouds kwakuwa creative na kuusogeza muziki na radio yao mahali vilipo sasa, hata wao clouds wanafahamu fika ni kazi za wasanii nikimaanisha nyimbo zilizowafikisha hapo. tujikumbushe kidogo nyuma, clouds walikuwa maDJ wanapiga madisko sehemu mbalimbali wakitegemea viingilio kama kipato chao, baadae akina sugu, J, na hatimae kina Juma Nature walipoibuka na midundo mikali ikawakuna watu, clouds wakaisense hiyo opportunity ya kuwakutanisha wasanii na mashabiki wao, ndo ma summer jam then fiesta ambayo yakawapatia udhamini na kuanza kutengeneza pesa mbali na viingilio, then wakaexpand na kufungua redio ambayo ukiacha nyimbo za nje mtaji mkubwa ulikuwa ni bongo fleva songs unakumbuka ile smooth vibes project? mara jina likawa kubwa na station ya kusikiliza nyimbo mpya za bongo ikawa clouds, Wasikilizaji hasa vijana wakawa wengi, nakumbuka kipindi kile hata mzee wangu akikukuta unasikiliza clouds alikuwa anakasirika sana, ghafla wasanii wakaanza kuleta nyimbo zenye kugusa, nyimbpo zikakubalika na hatimae segments za wasikilizaji zikaongezeka, radio ikakua na kupata sponsors kibao ambao wamewapa hela nyingi na sasa wameshalewa. Kumbuka kipindi kile cha nyuma kuimba ilikuwa njia ya kupatia madem. Radio imekuwa na wasanii wameongezeka, clouds wanadivide na kurule, wasanii wakongwe wanaojua haki zao wanapotezwa na kuibuliwa wapya ambao bado wanataka kutoka ili biashara iendelee.
Ushauri wangu, in business kila mara lazima ufanye SWOT analyisis, yaan Streghth, Weakness, Opportunities na Threats ili biashara iendelee. Kama wanafikiri bado wako powerful watakuwa wanajidanganya, sumu ya kuchukiwa imeenea sana na kama umefuatilia msiba wa Ngwair utanielewa, ni turning point tu imebaki wenye nguvu warudishiwe stahiki yao. There is no clouds without bongo fleva but there will always be bongofleva without clouds. Ukijikwaa amka tazama ulipojikwaa ili kesho usijikwae tena ili tusonge mbele,. Niwapongeza Clouds kwa juhudi zao zilizoifikisha bongo fleva sehemu ilipo leo na pia mafanikio yao katika media zao. Kuna vipindi kama amplifier na sports kinabamba sana, pb na jahazi zamani ilikuwa kweli ila baada ya kujivika mbeleko ya CCM mmetupoteza wengi wapenda kusikia yote, mema na mabaya. Kaeni na wasanii na msitengeneze maskini wenye majina makubwa kama mmoja wao alivyoimba na pia hata kama mna interest na chama fulani basi kama ni magazeti someni yote sisi hatutaki kujua CDM au CCM wamesema nini, tunachotaka kujua ni je magazeti ya leo yanasemaje? uhondo huo tunaupata times fm na si kwenu tena kama zamani. Change or Die(i mean zorota), mark my words!
 
pafekt
 
Iyo ya adam kupigwa haipo jipange tena kutafuta taarifa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wasanii ni wapumbavu mtakufa masikini esp nyinyi msio nashule wala shuhuli maalum nyingine zaidi ya muziki...cloudz kills u mazafakaz

Sikutegemea kama utakua na upungufu wa kufikiri kiasi hiki, you are so stupid.
 
wasanii ni wapumbavu mtakufa masikini esp nyinyi msio nashule wala shuhuli maalum nyingine zaidi ya muziki...cloudz kills u mazafakaz

Kwanza nenda kajifunze kuandika, wewe sidhani kama ulimaliza hata std 7.
 
Hakuna kituo cha redio nisichokipenda kama hiki kituo cha redio. Yaani ni matatizo sana kwa wasanii,mimi sio msanii ila na waonea sana huruma hawa wasanii kwasababu hawajifunzi kama jide na wengine wengi jamaa hao wamewafanyia vitu ambavyo sio sahihi yaani dhuruma sasa hao wanaojipendekeza hawaoni kuwa wako sehemu ambayo ni hatari sana muda wowote wataumizwa kama walivyofanyiwa wenzao(Jide,sugu,vinega na wengine)








 
Its for real........100% ukweli umewaambia

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Your arguments are null and void.........after all clouds ni private redio kama unahuruma anzisha redio yako

Mhhhhh!!!!!, ni PRIVATE !!!!! mbona inaitwa redio ya WAFU, aah sory ni ya watu. tuache unafiki, hawa majamaa sio

kabisa...Jana kwenye kipindi cha Diary Chid Benzi alilamika pia, akasema, kama vipi bora ahamie Liberia coz hapa bongo

mziki umehodhiwa na 'majambazi'.
 
Tatizo la kweli si Clouds FM, tatizo halisi ni ukweli kwamba wasanii wetu wengi hawajitambui na hawajiwezi kifikra kutokana na kukosa ELIMU, na kukosa background sahihi ya kuwawezesha KUOGELEA kwenye ulimwengu wa sanaa. Matokeo yake ni kutumika na kusubiri bahati ya kutoka kwa kudra za wawezeshaji! ambayo ni shortcut yenye miiba inayoruhusu wachache kutoka kwa gharama ya wengi. Hao wachache wanaotoka hutumika kuwavutia kambale wengi zaidi kuingia mtegoni.
Msanii yeyote anayetaka njia ya uhakika kuelekea mafanikio ni sharti AWEKEZE (INVESTMENT) kwenye kazi yake.
Tukitegemea kutoka kwa shortcut ya singo za kulipia promosheni kwenye radio za wajanja tutaishia kutoana macho tu.
 
Clouds bhana usitokee msiba wa msanii wanaomboleza twenti foo hawaz...mbona nyimbo za ngwair walikuwa hawapigi kipindi akiwa hai??? kweli ni radio ya W.A.F.U.....vp maclouds maombolezo ya Ngwair mnamaliza lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…