mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,160
- 2,715
Acheni kushabikia mambo ambayo hayajakizi kiwango ama havina hadhi ambayo jamii ingetaraji,niliposikia shuledirect.com inapewa promo na Clouds fm na kua imezinduliwa na waziri wa elimu akisema mwanafunzi anaweza jifunza chochote online nilikua nahamu kuona how this fantastic tools work ila nilisikia kuumwa tumbo nilipofungua hiyo website ambayo haiko katika kiwqngo hicho walichokua wanakisema redioni.Poor design,hakuna content za kutosha,not user friend sasa kama mm nimejisikia hivi huyu mwanafunzi ambae atakuja na matarijio ya kusoma chochote inakuaje ? kuna wakatinushabiki watamaa na wakijinga tuuweke pembeni kwa maslahi ya nchi yetu na vizazi vijavyo.Mwana jf hebu tembelea hiyo wavuti niambie kama umeielewa inawezekana labda ni upeo wangu mdogo wa hii mambo.