Typical bongo!
Wengi humu wanasikitika, wanatoa kauli za "kulaani", wanalaumu wazazi...wanashusha tuhuma nzito dhidi ya watendaji wa serikali and on and on....But no body comes up with a concrete solutions...(perhaps Mwawado tuu aliyeomba kufuatilia..)....Ilmradi kila mtu anajua ni jukumu la mwingine kutatua hili tatizo.Rightly so..lakini hawawajibiki..sasa tufanyeje? Onyesha njia..ndo uwajibikaji wenyewe huo..Clouds wamefanya jukumu lao..pick it from there--if you are interested anyway..
Sasa jamani kwa mtindo huu tutafika?..wewe kama wewe sema utafanya nini...maana makosa yameshatendeka..its not enough "kusikia hasira na uchungu kwa vitendo vya kinyama"..so what???
It is high time we start giving REAL solutions to REAL problems. rhetoricals na viingereza vingi humu bila matendo ni bure!
Masanja,
Link hii haifanyi kazi kwa ufupi nimeelewa kidigo sana....kwa kuwa hata sijapata audio hiyo..uki click hata link zingine unapata pop up window ikikwambia uwapigie simu jamaaa....Je hiyo lini ni baada ya ku click tu unapata matangazo au mpaka uende kwingine..?Hapa nina Internet speed ya 100Mbps Sijui kama hiyo link inaweza goma hapa...kwa kweli...
Sasa typical non Tanzanian baada ya kulaani typical Tanzanian nilitegemea ungekuja na solutions kuliko na wewe kurudia hayohayo unayo ya laani.
mkuu inategemeana spid ya internet bandwidth ni tofauti na signal.link iko ok sana, we click hapo then chagua hiyo ya tarehe 22, utasikia, otherwise mashine yako ina matatizo, enable add ons.
mkuu inategemeana spid ya internet bandwidth ni tofauti na signal.link iko ok sana, we click hapo then chagua hiyo ya tarehe 22, utasikia, otherwise mashine yako ina matatizo, enable add ons.
Mzee sijui kwa hapa nibonyeze link ipi wakati sipati hata option ya kubonyeza See attachment.
Mzee sijui kwa hapa nibonyeze link ipi wakati sipati hata option ya kubonyeza See attachment.
windows xp yako ina matatizo, install windows xp service pack 2 or 3, na iwe windows xp professional na si home edition. kwa hali ya pc yako ilivyo huwezi kusikiliza mazungumzo haya. maana inaonekana system file flni zinamis hapo.
Waungwana naomba msaada wenu wa namba za simu zifuatazo;
1. Kituo cha Redio cha Clouds.(Majina halisi ya Watangazaji wa kipindi kilichorusha
matangazo ya uzalilishwaji wa Watoto wa kike)
2. Namba ya simu ya Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke.
3. Namba ya simu ya Kituo cha Polisi Mgulani/Kilwa Road.
4. Namba ya simu ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mgulani.
Mkuu Yo-Yo naomba utafute muda ili urushe tena majadiliano ya pili ya wadada hao ambayo yatafanyika kesho kwa mujibu wa Matangazo ya hao Clouds...
Huyu alie fanya tayari yupo lock up Keko toka jana.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke Dr. Aisha Mahita amethibitisha kutokea kwa tukio la Vijana Wawili wa Kike (Lililoripotiwa katika kipindi cha Hekaheka-Clouds FM) kutoka Keko Mwanga kuingiliwa kimwili...Daktari huyo ameikumbuka kesi hiyo na kudai kuwa Jarada lake # RB 3619 lipo kituo cha Polisi Kilwa Road...Alikataa kutoa maelezo kwa madai kwamba Ripoti ya Hospitali ni haki ya Mgonjwa na vyombo vya sheria...Wao kama Madaktari wamemaliza kazi yao na kuikabidhi polisi.
Polisi kilwa Road hawakutoa maelezo kwa madai kwamba Msemaji wao yupo Polisi Temeke na hakupatikana kwa simu yake ya mkononi.
Maelezo ya Mganga Mkuu wa Wilaya yanaonyesha kuwa kumekuwa na Cases nyingi za kuwafanyia uchunguzi wa Afya watoto walionajisiwa na amedai wao hutoa/peleka Ripoti zao Polisi na kwa wahusika,alikataa kutaja idadi ya Cases hizo.
*****Imefika wakati sasa TAMWA iingilie kati na kuhakikisha Cases hizi zinasikilizwa na kuona wale wote wanaohusika wanachukuliwa hatua kali.