Kampuni ya Clouds media kupitia makampuni yake ya clouds f.m na clouds Tv wamebuni mbinu ya kuwaibia watanzania ambao wengi hawana uwelewa mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwani wanakutumia ujumbe mfupi unaohusu shughuli za burudani wanazozifanya kisha wanakukata hela,pasipo wewe mpokea ujumbe wa simu kujiunga na huduma hizo kiasi wanachokata ni Tsh 150.Hili suala ni very sensitive kwani nimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja na kuwalalamikia wao wamesema hawajui kitu zaidi ya kunishauri nitume neno STOP kwenda number 15556 Ili kusitisha ujumbe huo ambao unaiba pesa za watanzania,suala la kujiuliza hapa ni kuwa mimi ni mwelewa wa mabo ya mawasiliano je kwa mjomba wangu aliyepo kule kijijini Lukuredi kama atakuwa anatumiwa ujumbe na hawa watu kila siku na anakatwa hela pasipo ridhaa yake hawa watu watakuwa wanatengeneza mabilioni mangapi ya pesa?.Ufuatao ni copy ya ujumbe mfupi ambao hii kampuni inautuma ovyo kwa watanzania na kuwakata hela bila ridhaa yao
"CLOUDS TV:Angalia mkali wa ngolongolo Diamond Platnumz akiwasha moto Fiesta 2012.Diamond amewakilisha Tabora, Dodoma.SIMU.TV;Bofya; http://db.tt/CXiJhfHZ "
Nakala
i)Joseph Kusaga (Clouds media Group)
ii) Makamba J (Naibu waziri)
mkuu pole sana maana hapo pia ushaliwa maana ulipotuma hyo ondoa UMEKATWA.mimi nimekerwa sana,nshatumiwa hzo sms na nimekerwa sana hasa nlipogundua kuwa ukituma neno ondoa unakatwa.SERIKALI IMELALA,INASHIRIKIANA NA MAJAMBAZI TUNAIBIWA,TUNAPIGWA KOTE KOTE..HVI njie mnaojiita wanasheria na wana harakati hamuoni deal hzi?? Nachukia sana kuibiwa kwa style hiiMwenyewe imewai nitokea sijajiunga wala nini,nikaandika Ondoa,imestop,nilikasilika sana,ni wizi tu
Hawa jamaa huwa pia wanauwezo wa kumrubuni mkuu wa mkoa, wilaya, RPC wa sehemu husika na hata kuwarekodi na kutumia uharamia huo kwenye vyombo vyao habari kuonyesha wizi wao umehalalishwa na vyombo vya dola.
Pia walishawahi mrubuni hata waziri mkuu ahudhurie matamasha yao.
Kampuni ya Clouds media kupitia makampuni yake ya clouds f.m na clouds Tv wamebuni mbinu ya kuwaibia watanzania ambao wengi hawana uwelewa mkubwa wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwani wanakutumia ujumbe mfupi unaohusu shughuli za burudani wanazozifanya kisha wanakukata hela,pasipo wewe mpokea ujumbe wa simu kujiunga na huduma hizo kiasi wanachokata ni Tsh 150.Hili suala ni very sensitive kwani nimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja na kuwalalamikia wao wamesema hawajui kitu zaidi ya kunishauri nitume neno STOP kwenda number 15556 Ili kusitisha ujumbe huo ambao unaiba pesa za watanzania,suala la kujiuliza hapa ni kuwa mimi ni mwelewa wa mabo ya mawasiliano je kwa mjomba wangu aliyepo kule kijijini Lukuredi kama atakuwa anatumiwa ujumbe na hawa watu kila siku na anakatwa hela pasipo ridhaa yake hawa watu watakuwa wanatengeneza mabilioni mangapi ya pesa?.Ufuatao ni copy ya ujumbe mfupi ambao hii kampuni inautuma ovyo kwa watanzania na kuwakata hela bila ridhaa yao
"CLOUDS TV:Angalia mkali wa ngolongolo Diamond Platnumz akiwasha moto Fiesta 2012.Diamond amewakilisha Tabora, Dodoma.SIMU.TV;Bofya; http://db.tt/CXiJhfHZ "
Nakala
i)Joseph Kusaga (Clouds media Group)
ii) Makamba J (Naibu waziri)
Mkuu ni mitandao yote ama ni baadhi?
pole mkuu,japo unasema una elimu kidogo kuhusu mambo ya mawasiliano lakin nadhan huna tofauti na huyo mjomba wako wa kijijin,nasema hvyo kwasababu kam umegundua unakatw hela na umeripoti na hakuna mabadiliko bs uko saw na mjomba wako wa kijijin,mkuu hili unalolizungumza la clouds linaendn na ukweli,tunapozungumza sasahv januari makamba na jose kusaga wako arusha kwny kongamano linalohusiana na hayo uliyo yaeleza na linafnyk usiku huu,hii clouds fm nayo imekuw majanga,habari zingne nilizo zipata nikwamba wameingia mkataba na mtoto a rais riz moko kumpigia debe membe hayo ni machache tu,ngoja nitafute ukweli niuweke hap jamvin
mkuu pole sana maana hapo pia ushaliwa maana ulipotuma hyo ondoa UMEKATWA.mimi nimekerwa sana,nshatumiwa hzo sms na nimekerwa sana hasa nlipogundua kuwa ukituma neno ondoa unakatwa.SERIKALI IMELALA,INASHIRIKIANA NA MAJAMBAZI TUNAIBIWA,TUNAPIGWA KOTE KOTE..HVI njie mnaojiita wanasheria na wana harakati hamuoni deal hzi?? Nachukia sana kuibiwa kwa style hii