Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
- Thread starter
- #21
haroooooooo clouds jibuni hapa.
Nawapongeza clouds kwa kupeperusha bendera ya chama
Ila mkuu hawa wanaenda mikoa ambayo ccm inakubalika cijui kama huko wataenda
Clouds jitokezeni haraka hapa mjibu hoja, kwa nini kwenu redio haisikiki? kwa nini? we Ruge au ulinunua jina sio lako?
what does favor you sir ....having wrong information or not having information!? Maana huko angalau zinapatikana stations za UG ambazo hapa hazipatikani. Hawa jamaa wanaweza kuja huko na ikaishia 'ku-brain wash' watu wako. 🙂Clouds leteni matangazo yenu Bukoba hapa otherwise msije home, sawaaa?
Ta Muganyizi otamile. (Umelewa). Hii ndo redio ya kupeleka Nyumbani? Tunahitaji redio itakayowajulisha wnanchi kuwa miaka yote CCM imewafaidi kwa kupitia kahawa yao, Kwamba leo wanakula mapanki ambayo sasa hayapo tena baada ya samaki wao kuporwa na utitiri Viwanda vya kifisadi, tunataka redioa isiyopiga MIDUARA muda wote.......... Machozi yananitoka.... Nalilia Mkoa wangu, Ta Munganyizi umelogwa.
Ni sahii kabisa, Clouds fm & Kasibante fm zote inabidi zifikikishe ujumbe kwa jamii nzima ya kitanzania kwani zina milikiwa na watu wakubwa na wenye uwezo; siyo Dar tu na BKB tu. Kitendo cha kuwa na chombo cha habari kama Redio na televisheni kwa ajiri kurusha matangazo alafu matangazo yenyewe yakawa hayafiki mbali ni kukuza umbea na kuleta sintofahamu kwa jamii husika.
Ruge Mtahaba ni wa Bukoba kabisa(kwao ni Kabale ko-Mukama, Kiziru) na Clouds ina siku nyingi imeanzishwa sijui ni kwanini haoni umuhimu wa ndugu zake kufaidi matunda yake. Kasibante fm ni ya Kagasheki(MP) ina muda mfupi imeanzishwa inavyoenda si vibaya kwani sasa hivi wanamchakato wa kurusha matangazo kanda ya ziwa nzima na baadae tanzania nzima, kwa clouds sijasikia kama wana mpango kama huo.
Kasibante kwakweli wanafanya vizuri japo kuwa wanabanwa na itikadi za mmiliki: wanaovijana wataalumu kama akina Emanuel Mbaule na Nicolaus Ngaiza wanatisha katika kazi zao, siku ikianza kusikika Nchi nzima mtakubali kazi zao.
Meli mpya tuliyoahidiwe na JK ili watu wasife kama MV Bukoba ilivyokuwa. Pia clouds sio jukumu la serikali. Kama ni masuala ya serikali kuna issues ambazo zitaelekezwa kwa wahusika. Kila mdau anatwishwa mzigo unaomhusu