Clouds FM wana Chuki na Kagera? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds FM wana Chuki na Kagera?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ta Muganyizi, Apr 16, 2011.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Sisi huku tumechokaaaa na story tunazopigiwa na wenzetu wanaotoka Dar es Salaam na Magazeti Yote ambayo yanaandaliwa Dar na kufika huku mikoani. Mara tuambiwa kuna kitu kinaitwa LEO TENA, Mara Njia Panda, kisha tunaona mshindi wa kipindi bora cha kijamii katoka clouds, mara hekaheka haya sie tunasoma tunakubali. Lakini cha ajabu tukasoma historia kama hizo kwamba kuna Mtu anaitwa RUGE Mutahaba, kwamba huyu ndiye mdau muhimu hapo clouds, Jina tukilicheki kama la hukuhuku tulipo lakini redio hiyo haisikiki, acha maeneo mengine basi hata Bukoba Mjini ili tukifuata vi - Mshahara vyetu tusikie walau ... hakuna, tunaambiwa kuisikia clouds mpaka uwe na Dish mara uende TBC1 audio yaani misamiati mitupu. Sasa tunaoenda ofisini tubebe madish? Mara tukaona mtu anaitwa Dina Marios kwenye magazeti hasa lile la sana kwenye sehemu inaitwa mtu kati..kusoma tukaona huyu dada kwao Buganguzi - Muleba ( anakozaliwa Tibaigana) ahahaaaa... huyu hataki huku tusikie hata sauti yake.

  Mara hapa JF tunaona anatajwa Ephraim Kibonde kuwa kuwa brain yake sometimes ni "shake well" source maneno aliyoyasema Clouds Fm wa mikoani wengine kama hapa Bukoba huwa naona wanachangia wanamind na kuchukia kilichosemwa na Kibonde ( Ukiwauliza "uliisikiliza hiyo radio?" anasema huku haisikiki basi nacheka hadi mwisho. Na vitungine tunaambiwa clouds. Sasa nyie clouds wengine watasema ooo sijui nini lakini huyo mtu asiyetaka kwao wasikie mambo yake sijui yukoje. SAIDA KAROLI alijifanya kuweka makao makuu yake DAR wakati nyimbo za asili anazoimba za huku lake zone. Mamamaaaa wakamuingiza mjini hadi sasa kahamishia makazi Tivoli huku Mwanza . Angalau sasa hivi anamake something.

  Tunataka na sisi tusikie hiyo redio ili tujue huyo kibonde huwa anateteaje ufisadi na huwa nachemkaje pia tumsikie huyo Marios dina wa kwa Tibaigana na Masilingi.
   
 2. n

  never JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  cloud fm ni redio ya CCM, ni kichefuchefu hatutaki hata kuisikia kazi yao kuongea pumba tu. then acha kupima watu imani hapa jf wewe unatokea cloud fm umetumwa kwakuwa mmesikia mabwana zenu wakiitaji jf kule dodoma kuwa ni tishio kwa ccm, kafieni mbele kule
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  .................Toa upuuzi huu mods,ndio nini sasa,peleka kwenye jukwaa husika plz...
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Unataka Radio ya WAFUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!
   
 5. n

  never JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  cloud fm ni redio ya CCM, ni kichefuchefu hatutaki hata kuisikia kazi yao kuongea pumba tu. then acha kupima watu imani hapa jf wewe unatokea cloud fm umetumwa kwakuwa mmesikia mabwana zenu wakiitaji jf kule dodoma kuwa ni tishio kwa ccm, kafieni mbele kule
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Umenigusa sana mwana kwetu,hawa jamaa kana kwamba pale dar ndo mwisho...jamani mbona watu hawa hawaoni umuhimu wa wao kutusaidia sisi wa kwao? Au ndo wanasahau kale ka msemo kanakosema ..kila mchuma janga hula na wa kwao?
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ona watu mnavyojipenda. Huwezi kuwa critical bila kusikia unayemcriticize anaongea nini. Wewe una access na hiyo redio na ujinga wote unausikia sasa nyie mnapoanzisha mada ambazo sosi ni hiyo clouds sisi hatusikii mnategemea tuunge vipi mkono hoja. Ukitoa habari ambayo imeongelewa mwana halisi wote tunachangia , Sijui RFA tunachangia , sasa hayo mnayoyasema ya ccm , sijui ni ya nini acheni na sisi tuyasikie tupandishe munkari yetu . Watu bwana> Masiwe kama TV za bongo vipindi vyote vya USWAZI sijui kipima joto wanaongea wa Dar. Mbona kila mkoa kuna Uswazi, Watu bwana mie nilitegemea unieleze zaidi pumba hizo za ccm sasa wewe ndo hutaki nisikie ili nipime hali halisi ya wanachokiongea na hali ya nchi. Pia haya ni mawazo yangu wewe nisaidie tu hizo pumba nizisikieje? just a simple reasoning ili na mimi niwe na benchmark ya ku- argue. Wether radio ni nzuri au ni mbaya tunataka tujisikilizie. Kama mnaomba mod aitoe hii mada basi ajabu. Mbona huwa mnatupa habari ambazo source yake nin huko dar ambako hatusikii lakini support za kimapinduzi tunakimbizana sie huku. Hivi mie nikiandika habari ambayo Sorce yake ni KASIBANTE FM ya hamis Kagasheki hapa bukoba na nikaomba uniunge mkono kwa nilichokisikia kupinga utaniunga mkono 100%?
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,558
  Trophy Points: 280
  Pale bukoba mjini Clouds inapatikana kupitia dish au cable kwa kutumia TBC1 audio.lakini nafikiri mkuu issue pale si radio hiyo tu tv inayopatikana bila dish wala cable ni TBC1 pekee hivyo kila mwenye tv lazima ajiunge cable ili apate tv zote za tz zilizo kwenye satelaite.wakazi wa bk na mikoa mingine ambayo mambo ni kama haya inawafanya wakazi wake kuingia gharama zaidi na maisha ya watu hao ni duni lakini hakuna asiependa habari na burudani pamoja na umasikini uliopo.nafikiri ni wakati wadau wajitahidi kusambaza matangazo sehemu kubwa zaidi maana wamekua sasa.mji kama bukoba umechangamka sana sasa lakini inashangaza kukosa vituo vya radio na tv kutoka Dar.
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Acheni ukabila nyinyi..........................wewe ni Rweye wa ikulu nini? Maana comment zako ni za kawaida sana mkuu..
   
 10. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,558
  Trophy Points: 280
  Na hiyo Kasibante Fm ya Kagasheki MP ambayo ndio inasikilizwa sana bk inaboa kweli,muda wote ni vijembe kuponda upinzani na kuzidi kuwajaza ujinga wananchi.
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Clouds leteni matangazo yenu Bukoba hapa otherwise msije home, sawaaa?
   
 12. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #12
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Clouds jitokezeni haraka hapa mjibu hoja, kwa nini kwenu redio haisikiki? kwa nini? we Ruge au ulinunua jina sio lako?
   
 13. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Wanakwetu, (ab'omuka),
  Radio ya Clouds FM haina chochote kitachokufanya ulale mlango wazi, including entertainment kwani wako outdated.
  Mbaya zaidi vipindi vyao nachelewa kusema vitakuwa na negative influence kwa kizazi chetu.
  Mwikale n'emilembe, munyegele Kabale k'Omukama.
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wabukoba nadhan kuna vitu vya msingi vya kulilia na si cloudsfm
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Waitu ntusima, yaani asante lakini kwa nini sisi wakwao tusimuananlyse? Infact hadi shinyanga wanaisikia, kwa maana hiyo tuhamishe ndugu wetu wa Shy wasije kuwtuwasaidie kuwa poruted? iletwe ili tuwasaidie kuchange.
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Meli mpya tuliyoahidiwe na JK ili watu wasife kama MV Bukoba ilivyokuwa. Pia clouds sio jukumu la serikali. Kama ni masuala ya serikali kuna issues ambazo zitaelekezwa kwa wahusika. Kila mdau anatwishwa mzigo unaomhusu
   
 17. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  wala siwezi kuingia ligi na wewe maana akili yako imezamishwa kwenye ukabila,na hilo jina lisikupe headache ni vipi kama jina lingekuwa Charles ina maana ungeshindwa kucriticise? Mawazo yako ni sawa na jibini

  kimantiki ndo maana wenzetu wanasema Charity begins...na ndo maana leo tunataka mafisadi warudishe pesa zao hapa kwetu maana huku ndo kwao,

  sasa aliyepost hyo thread aliongelea vitu viwili 'CLOUDS' KAGERA, mm nikaona nichangie kama ilivyoletwa,kama hauna interest na hicho kitu siyo lazima uchangie,na hata kama siyo unaruhusiwa kuchangia postively ila usiingize ukabila maana KAGERA watanzania wote wanahishi,na si kabila moja
  Nikuulize tu,mbona zikiletwa habari za karatu ,Kilimanjaro,Singida huwa hausemi flani acha ukabila? tena kwa tahaarifa yako fuatilia comment zangu ZOTE ulete hapa hili zichambuliwe na wanajamvi kwa misingi ya utaifa ili zipgmwe na zako ama za yule unayedhani is a good analyst

  laiti ningelikuwa lecturer i could label you "KIHIYO" maana unaacha point unafanya propaganda,naomba jamvini waje watu critical
   
 18. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  wala siwezi kuingia ligi na wewe maana akili yako imezamishwa kwenye ukabila,na hilo jina lisikupe headache ni vipi kama jina lingekuwa Charles ina maana ungeshindwa kucriticise? Mawazo yako ni sawa na jibini

  kimantiki ndo maana wenzetu wanasema Charity begins...na ndo maana leo tunataka mafisadi warudishe pesa zao hapa kwetu maana huku ndo kwao,

  sasa aliyepost hyo thread aliongelea vitu viwili 'CLOUDS' KAGERA, mm nikaona nichangie kama ilivyoletwa,kama hauna interest na hicho kitu siyo lazima uchangie,na hata kama siyo unaruhusiwa kuchangia postively ila usiingize ukabila maana KAGERA watanzania wote wanahishi,na si kabila moja

  laiti ningelikuwa nakupa paper usingepata marks maana unaacha point unafanya propaganda,naomba jamvini waje watu critical
   
 19. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  only83

  ulikuwa hujanywa kahawa, naona sasa umeamka au sio!!??
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  unaitaka clouds nenda google andikaka clouds fm tanzania then itafunguka utaisikia live.ipo u streem live.
   
Loading...