carrick wa O.T mkuu![]()
![]()
dah kweli hujasikiliza ktambo mkuu maana mpaka m.carrick kahama! au labda carrick wa mbao fc
mtazamo wako tu mkuuClouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio.Hapa nazungumzia vipindi vya burudani vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saa kumi. Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki sana kazi yao nikuwachamba wasanii wakubwa kama Afande Sele kuwa eti hawana swagger.
Alafu nyimbo zao hazina ubunifu kiukwel XXl clouds FM itabaki kuwa radio bora hapa Tanzania wao awana ishu zakuwatukana wasanii wakubwa malegendary kama Afande Sele. East Africa radio full ubaguzi kwa wasaniii yaani washamba sana awa East Africa radio.
yaan kusikiliza xxl wazee wa shilawadu ndo kusema hawana Majungu????Pia kwenye maelezo kajikita kwenye vipindi ie xxl vs planet bongo, haeleweki huyu.
bado yupo mpaka leocarrick wa O.T mkuu
Kumbe vituo vya radio siku hizi huwa vina nyimbo zaoClouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio.Hapa nazungumzia vipindi vya burudani vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saa kumi. Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki sana kazi yao nikuwachamba wasanii wakubwa kama Afande Sele kuwa eti hawana swagger.

OKSawa