Clouds fm ndo radio bora hapa Bongo

Clouds fm ndo radio bora hapa Bongo

Clouds inapatikana maeneo machache ukilinganisha na redio nyingine kadhaa, clouds imejikita kwenye kuwateka vijana kama chombo cha burudani badala ya kuteka tasnia ya habar kama chombo cha habar ambalo ndilo lengo kuu la chombo chochote cha habar, mleta mada inaonekana una mahaba na clouds na sio analysis ya performance ya radio stations hapa nchini, hii inadhihirika kwenye maelezo yako, na kwa sababu hii pekee ya mleta mada kuwa na mahaba na clouds, mada yako ni feki na ujifunze kuleta mada kwa kutumia vigezo sio mahaba, nilitegemea uweke comparison ya stations mbalimbali, kwa ufupi "none sence"
 
Kuna research moja iliwahi kufanywa na wajerumani kuhusu, ubora wa huduma za kiredio zinazotolewa nchini.
Wakaja na findings ni radio stesheni chache sana zinazofuata principle za utangazaji wa radio.
Moja wapo ikiwa ni clouds, isiyo fuata ethics na principles za utangazaji.
Personally sijaona ni kitu gani nitasikiliza clouds.
 
umekusanya maoni kwa watu wangapi ukaambiwa clouds ni redio bora?
Wapi nimesema ni Radio bora?
Nadhani hujaelewa kwa nini nimeweka jina la Kibonde. Radio presenter wa ovyo kuliko wote. Labda hapo utapata maana yangu.
 
Wapi nimesema ni Radio bora?
Nadhani hujaelewa kwa nini nimeweka jina la Kibonde. Radio presenter wa ovyo kuliko wote. Labda hapo utapata maana yangu.
Wanamwita kibs, anajaribu sana kumuiga Jf koinange lakini naona anaishia kuharibu
 
Acheni uboya nyie ndio wabaghuzi kuna ki dada hapo claouds kinajadiri watu jinsi walivyo vaa chenyewe kibaaaaaaaya
 
Inakuja diamond fm na tv itafunika zote. Namuaminia kijana kwa ubunifu
 
Clouds inapatikana maeneo machache ukilinganisha na redio nyingine kadhaa, clouds imejikita kwenye kuwateka vijana kama chombo cha burudani badala ya kuteka tasnia ya habar kama chombo cha habar ambalo ndilo lengo kuu la chombo chochote cha habar, mleta mada inaonekana una mahaba na clouds na sio analysis ya performance ya radio stations hapa nchini, hii inadhihirika kwenye maelezo yako, na kwa sababu hii pekee ya mleta mada kuwa na mahaba na clouds, mada yako ni feki na ujifunze kuleta mada kwa kutumia vigezo sio mahaba, nilitegemea uweke comparison ya stations mbalimbali, kwa ufupi "none sence"

bravo nakuunga mkono kwa maneno yako very good
 
Clouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio.Hapa nazungumzia vipindi vya burudani vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saa kumi. Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki sana kazi yao nikuwachamba wasanii wakubwa kama Afande Sele kuwa eti hawana swagger.

Alafu nyimbo zao hazina ubunifu kiukwel XXl clouds FM itabaki kuwa radio bora hapa Tanzania wao awana ishu zakuwatukana wasanii wakubwa malegendary kama Afande Sele. East Africa radio full ubaguzi kwa wasaniii yaani washamba sana awa East Africa radio.
Sio radio bora sema wamekuteka wewe na wapuuzi kama Wewe
 
Tatizo uccm mwingi.utafikiri waliambiwa radio wanasikiliza makada wa chama peke yao
 
Tulieni nyie blauz fm....Alafu Wewe ni dj sinyorita nini..!?? Maa huu uandishi utafikiri wa mtoto wa darasa la sabaa....
Alafu kina kuuma nini nyimbo za mondi kutopigwa ea radio mwenyewe kasha sema ana kuja na station yake, atajipigia ngoma zake anavyotakaa...
Tulieni hamna ubora wowote blauz fm ilikua zamani nyie ni ngenge la wahuni ka wahuni wengine....mbona nyie pia wa baguzi hampigi ngoma za ruby,lady jay d,...!?
 
Back
Top Bottom