Clouds fm ndo radio bora hapa Bongo

Clouds fm ndo radio bora hapa Bongo

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,641
Reaction score
81,548
Clouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio.Hapa nazungumzia vipindi vya burudani vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saa kumi. Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki sana kazi yao nikuwachamba wasanii wakubwa kama Afande Sele kuwa eti hawana swagger.

Alafu nyimbo zao hazina ubunifu kiukwel XXl clouds FM itabaki kuwa radio bora hapa Tanzania wao awana ishu zakuwatukana wasanii wakubwa malegendary kama Afande Sele. East Africa radio full ubaguzi kwa wasaniii yaani washamba sana awa East Africa radio.
 
Clouds FM ni radio bora sana ukilinganisha na East Africa radio .Hapa nazungumzia vipindi vya burudan vinavyoanza kuruka kuanzia saa saba mpaka saakumi.Yaani watangazaji wa planet Bongo wanafiki sana kazi yao nikuwachamba wasanii wakubwa ..kama Afande Sele kuwa eti awana ...Swagger alafu nyimbo zao hazina ubunifu kiukwel XXl clouds FM itabaki kuwa radio bora hapa Tanzania wao awana ishu zakuwatukana wasanii wakubwa malegendary kama Afande Sele ...East Africa radio...full ubaguzi kwa wasaniii yaani washamba sana awa East Africa radio.
unataka kusema clouds hawana huo ubaguzi kbs?
 
Back
Top Bottom