King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,363
- 88,545
Umofia kwenu wana JF,
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu hiyo radio kutumikia ccm,leo nikiwa kwenye daladala,nimesikia kwa masikio yangu,clouds fm ikipiga nyimbo za kampeni za ccm kujiandaa na uchaguzi mkuu, TCRA naomba ufafaunuzi kutoka kwenu,nakumbuka Ruge mkurugenzi wa clouds alisema radio yao wameisajiri kwa malengo ya burudani,sasa iweje kwa sasa wawe wanafanya promotion live za chacha cha ccm au wameupdate leseni yao? Najua chama wanaweza wakanunua kipindi kwa ajili ya malengo ya kufikisha ujumbe katika radio yeyote lakini kile kipindi kilikuwa sio cha chama ni cha kila jumamosi.

Last edited by a moderator: