clouds fm muda huu..

clouds fm muda huu..

Msambaa mkweli

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
339
Reaction score
439
Clouds fm, wanapatanisha ndoa kati ya Tobby na Tausi, hivi kweli ndio njia sahihi.
 
ni sahihi kama Tausi na Tobby wameridhia na wamepatanishwa.
 
Clouds fm, wanapatanisha ndoa kati ya Tobby na Tausi, hivi kweli ndio njia sahihi.
Nimesikiliza kipindi hicho cha njia panda ambapo wanandoa Toby na Tausi wana mgogoro au ugomvi, wameshirikisha wazazi imeshindikana ndio Tausi kaja redioni anasimulia hadi mambo ya ndani kabisa loh! Binafsi nimeona si sahihi kuelezea mambo hayo redioni, ni kujidhalilisha tu! Lakini sijajua wanatakiwa wayajadili wapi kama wazazi wameshindwa!
 
Clouds fm, wanapatanisha ndoa kati ya Tobby na Tausi, hivi kweli ndio njia sahihi.


Sio sahihi hata kidogo. Kutangaza kupitia redio mambo ya ndoa sio sahihi na hayo siyo matanngazo ya mpira.

Upatanishi wa mambo ya ndoa unahitaji hekima na utulivu kwa wachache wenye sifa hizo, kuanika udhaifu wenu kwa kila mtu ni kujichimbia handani litakalo ifukia na kuizika ndoa kabisa.
 
Kama walikua na ugomvi na wamefanikiwa kupatanishwa ni vizuri, haijalishi njia waliotumia,
 
Hakuna aibu mbaya kama kujidhalilisha mwenyewe,mambo ya ndani na redio wapi na wapi!
 
We clouds huwajui!!!!!!!!!! Hilo DILI LIMECHEZWA!!!!

Hivi lara 1 haiwezekani na sie tukaanzisha hilo dili humu JF, kuna wanandoa wengi humu wana migogoro haoo LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom