Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wana JF,
Kila mtangazaji ndani ya Redio Clouds anafanya matangazo ya biashara. Tangazo linapigwa na kisha mtangazaji analirudia tena na tena...Kulikoni??? Au nyie mnalipwa tofauti na wenye makampuni???
Napenda sana kusikiliza kipindi cha michezo "Sports Extra" lakini nacho siku hizi ni matangazo tuu mwanzo mwisho. Hakika mnaboa sana!!
Najua mnategea matangazo kama faida lakini tangazo likisha chezwa kama lilivyo haina haja mtangazaji kulirudia tena yeye kama yeye. Watangazaji wote wa Clouds ni Maafisa Masoko wa kampuni tofauti tofauti.
Badilikeni Clouds Fm mnapoteza ladha sasa.
Mandla,
Wa Dodoma.