Anayechanganya lugha ni Jeff.Yule ni mkenyaLabda nijitambulishe kuwa mimi ni mdau wa Lugha ya Kiswahili nya mpenzi wa hiki kituo cha Redio.
Kwa kweli nakereka mno na watangazaji wa kipndi cha michezo cha Redio hii akina Edgar, Lwambano, Jeff na wengine kutuchanganyia lugha.
Sielewi kwa nini wasitumie lugha moja tu? Amueni lugha ya kuendeshea kipndi chenu iwe ipi? Kuchanganya lugha ni ishara kuwa ninyi hamzifahamu lugha hizo vilivyo?
Hebu jisikieni fahari kuiongea na kuitumia lugha hii kwenye matangazo yenu!
Anayechanganya lugha ni Jeff.Yule ni mkenya
Anayechanganya lugha ni Jeff.Yule ni mkenya
Jeff sio mkenya bali ni mtanzania ila shule ya msingi alisoma Kenya na sekondari alisoma Tanzania form 1 hadi form 2 Makongo form 3 na 4 alisoma Tegeta na kuhitimu mwaka 2004.
Labda nijitambulishe kuwa mimi ni mdau wa Lugha ya Kiswahili na mpenzi wa hiki kituo cha Redio.
Kwa kweli nakereka mno na watangazaji wa kipndi cha michezo cha Redio hii akina Edgar, Lwambano, Jeff na wengine kutuchanganyia lugha.
Sielewi kwa nini wasitumie lugha moja tu? Amueni lugha ya kuendeshea kipndi chenu iwe ipi? Kuchanganya lugha ni ishara kuwa ninyi hamzifahamu lugha hizo vilivyo?
Hebu jisikieni fahari kuiongea na kuitumia lugha hii kwenye matangazo yenu!
Kwa nini achanganye language wakati he knows kuwa most of his wasikilizaji hawako conversant na hiyo foreign language?
wewe mwenyewe umechanganyaKwa nini achanganye language wakati he knows kuwa most of his wasikilizaji hawako conversant na hiyo foreign language?
nawachukiaje watu wanakubali kuwa watumwa wa lugha za kigeni na kuona ndio fasheni.
Nalog off
Na wewe vipi na "ku-log off" kwako? Si ndio wale wale!
Tatizo hizi radio mbao hazina utaratibu kabisa. Mtu anaongea kiswahili mara kadakia kingereza basi tu ilmradi vurugu. Hasa akina dada watangazaji wanadhani kuongea kingereza kwa lafudhi ya kizungu ndio ujanja kumbe upumbv mtupu.
Kwa nini achanganye language wakati he knows kuwa most of his wasrikilizaji hawako conversant na hiyo foreign language?
Kwa nini achanganye language wakati he knows kuwa most of his wasikilizaji hawako conversant na hiyo foreign language?