Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,444
Wanajamvi Clounds ina identity yake ndio maana imefanikiwa pamoja na mapungufu kibao.
Tusitake kuona clouds inakuwa too much official kama TBC. Wengine watakuja wanasema hapa inaboa na hakuna ubunifu. May be watangazaji wa Clouds wana uhuru zaidi kuliko vituo vingine. Kuna faida na hasara zake but tusisahau every decision ina compromise.
katika kuwin market ya bidhaa yoyote identity ni kitu muhimu kitu ambacho kwenye media radio Clouds wana identityyao japo kuna mapungufu.
naamina makapuni mengi yakitakiwa kupunguza bajeti zao za promo radioni watakoanza kukosa wateja ni Radio One, RFA, etc. clouds itakuwa ya mwisho kutoswa
nakumbuka lile tangazo lao la
"baba naniiiiiiii usiiitoe hapo ilipoooooo ndo mahala pake"
Teh teh