Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 676
Kuna habari kuwa Clouds fm inaweza kufungiwa au wafanyakazi wake kufungiwa kutangaza Radioni maana wananchi wametoa malalamiko yao kwa TCRA kuwa watangazaji wake wanaporomosha matusi na kuzalilisha watu kwa maneno ya binafsi wakiwa wanatangaza
TCRA watakuwa wanawaonea?
Source: Majira
TCRA watakuwa wanawaonea?
Source: Majira