Clouds FM acheni Utoto

Wale jamaa si wazee waku copy na ku paste vipindi.... Wana chukua idea za EATV wana hamisha kwao lakin bado vipindi vyao vina boa mbayaaaa... EATV wana vipindi vizuri sana hata presenters wake ni watu walio kaa sawa sawa... Best station ever kwa vijana
 
We ndo unachanganya mambo sasa... alisema akifa zisipigwe nyimbo zake au akifa Clouds wasitangaze habari za kifo chake na wala Kusaga na Ruge wasiende kwenye msiba wake! Msichana wa makamo unaweka viapo vya wazee wa kizamani tena wa vijijini... maajabu sana haya!
 
Maajabu mengine haya... hivi una habari kwamba hapa tunazungumzia Clouds FM? Kwahiyo vipindi vya televisheni vinagerezewa na kufanywa vipindi vya redio??!!!
 
nimekupata mkuu sasa hili suala wanatakiwa wote wakae chini wayamalize hakuna marefu yasiyo na ncha dunia ni mapito tujifunze kusamehe.

Clouds wana slogan yao ya kusambaza upendo,sasa ni upendo gani wanaousambaza? Ku-mute sauti ni kusambaza upendo au chuki?
NasDaz kwahiyo neno Lady Jay Dee ni tusi mpaka liwe Muted? Usichanganye Clean version na Dirty Version.
 
Last edited by a moderator:
Kuendelea kusikiliza redio ya wahuni kama clouds media ni dalili za wazi akili zako haziko vizuri, au pengine wewe ni muhuni au mtoto wa uswahili ambaye hujitambui.
 
Hata hao EATV wanacopy tv za nje.. kifupi hakuna jipya kwenye media za bongo.
 
Acheni ku mute sasa au msipige kabisa nyimbo ambazo huyo Jay Dee ameimba au ameshirikishwa. Mnapopiga nyimbo ambazo ameshirikishwa halafu penye sauti yake mna mute ndipo mnaponekana mna mambo ya kitoto hasa kwa wsikilizaji wenu. mambo kama hayo ndio yanaipambanua radio yenu kuwa ni ya kitoto na ina utoto mwingi. Onyesheni ukomavu bwana.
 
Kwahiyo unataka kuniambia ITV/EATV walikuwa wana-Mute sauti ya Ray C au Times/Magic Wakicheza Number one rmx wana-Mute sauti ya Davido?
 
NasDaz u-copy huu ujumbe umtumia Ruge.
 
Last edited by a moderator:
Maajabu mengine haya... hivi una habari kwamba hapa tunazungumzia Clouds FM? Kwahiyo vipindi vya televisheni vinagerezewa na kufanywa vipindi vya redio??!!!

Najua mada ni clouds radio na kutoka piga nyimbo za wasanii wenye bifu nao au ku mute... Nimetoka nje ya box ili kuleta picha nyingine ambayo pengine watu hawajui.... Relax mzeeee!!!!! Au Ruge mjomba wako?
 
Huwezi kuacha kupiga kwa ajili ya Jide na suala la ku-mute ni la kawaida sana kwenye radio stations na muting inafanyika kwa sababu mbalimbali... una lingine?
 
kwNgu mimi masoud ni kipaji, walimfukuza, walimpotezea ni jembe

Hawajamfukuza masoud kwa hiana bali ni makosa yake mwenyewe hata kwenye interview kashaliweka wazi yeye mwenyewe. Ndio maana kwenye kufunga mwaka 2014 yeye na Fina walialikwa kama wageni wakaitikia wito kuja kufanya interview clouds. Habari za kuwasemea watu umbea muwe mnaziacha kwenye vijiwe vya kahawa.

Siku hazigandi hata hawa akina Milard itafika kipindi waondoke ili kutoa nafasi kwa vizazi vingine. Acha kukalili maisha.
 
Najua mada ni clouds radio na kutoka piga nyimbo za wasanii wenye bifu nao au ku mute... Nimetoka nje ya box ili kuleta picha nyingine ambayo pengine watu hawajui.... Relax mzeeee!!!!! Au Ruge mjomba wako?
Sasa unachanganya mada na kila mmoja anafahamu kwamba Clouds na utundu wao wote, kwa EATV wameshindwa! Turudi kwa Clouds FM sasa!!
 
Kig. Ww ni mmoja wao bila shaka. Sasa huo wimbo waliomute kwa nini wapige? Hata hivyo radio yenu ni ya kihuni
 
Clouds wana slogan yao ya kusambaza upendo,sasa ni upendo gani wanaousambaza? Ku-mute sauti ni kusambaza upendo au chuki?
NasDaz kwahiyo neno Lady Jay Dee ni tusi mpaka liwe Muted? Usichanganye Clean version na Dirty Version.

Tusi ni neno lolote lenye kuonesha hali ya kukera na kashfa so inawezekana kwa clouds neno lady jay dee kwao ni tusi kubwa that's y wanamute
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…