Ndo matatizo yenu... nifanye declaration ya nini? Muulize Sugu... na microphone yake, na jukwaa lake la kisiasa, pamoja na kutoa album mzima ya kuwatukana Clouds, amefanikiwa kiasi gani katika kuwashusha? For three consecutive years imekuwa the only superbrands radio station in TZ huku ikijitokeza kuwa among the top 20 best in africa... unafikiri hizo dua za kuku huwa zinafaulu??NasDaz declare interest kwanza!!!! Hilo povu unalotoa haliwasaidii bali ndio unazidi kuwadumbukiza shimoni hata yesu alisema "hakika nawaambieni kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzake,wote watatumbukia shimoni,unawezaje kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati wewe una li-bolt jichoni mwako?"
Kila kitu kina mwisho lakini mwisho wa Clouds hauwezi kuwa sababu ya Jide au haters au wasio na hoja za msingi!Acha zako hizo mkuu unafikiri kuna chenye mwanzo kisicho na mwisho?mwisho wake ni pale sisi watazamaji ambao ndio wadau tukaposema basi.
Sasa wenye nyimbo zao wameshakuambia usipige na usijihusishe kwa lolote kuhusu wao includingi kifo, so we unatarajia bado upige tu kisa unasambaza upendo? Hilo kanisa linaloaminika kusambaza upendo tena wakisukumwa na masuala ya kiroho bado kila siku linapiga watu ban ukiwazingua, itakuja kuwa Clouds???!!Kutopiga nyimbo za wasanii ndo "kusambaza upendo"
Ndo matatizo yenu... nifanye declaration ya nini? Muulize Sugu... na microphone yake, na jukwaa lake la kisiasa, pamoja na kutoa album mzima ya kuwatukana Clouds, amefanikiwa kiasi gani katika kuwashusha? For three consecutive years imekuwa the only superbrands radio station in TZ huku ikijitokeza kuwa among the top 20 best in africa... unafikiri hizo dua za kuku huwa zinafaulu??
By the way, mtu amesema mwenyewe kwamba nyimbo zake zisipigwe nyie mnalalamika kwa kigezo eti ni nyimbo ya Mwana-FA. So, what's the difference? Huyo FA mwenyewe na Jide haziendi... what if hata FA mwenyewe hataki sauti ya Jide isikike kwenye nyimbo zake? Yaani mnataka kusema yale matusi ya Jide mmeyasahau au mlikuwa na chuki zenu dhidi ya Clouds since then manake nafahamu hii sio post ya kwanza na wala haitakuwa ya mwisho lakini suaa la nyimbo za wasanii kutopigwa kwenye radio ni suala ambalo lipo kwenye vituo karibu vyote!! Why always Clouds? Acheni kuchanganya siasa na burudani...
Kwa hiyo tayari mmeshamuendea kwa sangoma kuweka gundu kwenye biashara yake?Kwani tatizo liko wapi na kila mtu anaujua ukweli kuwa Jide alijaza nyomi nyingi iliyochangiwa na bifu lile? Zile zilikua ni huruma za wananchi kwani bifu lilikua hot. Kamuulize siku hizi Band yake imefia wapi au ule Mgahawa wa MOG wateja wamekimbilia wapi?
Jitahidi wkend uende pale japo ukakae hata masaa 2... hadi anatia huruma.
Hivi clouds fm ni kitu gani hicho!?
Acha zako hizo mkuu unafikiri kuna chenye mwanzo kisicho na mwisho?mwisho wake ni pale sisi watazamaji ambao ndio wadau tukaposema basi.
Inaelekea uzi umekutachi mkuu...Watazamaji gani unaowaongelea? Jisemee wewe husikilizi acha ngonjera za kuwasemea wote. Nenda kawe ukasikilize vichekesho vya mkude.
ni ugonjwa mpya unaosababishwa na kula chips mayai
Hofu yangu ni kwamba, wote nyinyi na wengine kama nyinyi mchango wenu ni sawa na tone la maji kwenye bahari! Si tu kwamba mnajifanya hamuisikilizi wakati mnaisikiliza lakini hata msipoisikiliza, effect take is almost negligible coz', wakati nyie mnajidai hamuisikilizi, there're millions outta there wanaoisikiliza including hao wasanii mnaojifanya kuwatetea!! By the way, Clouds FM ni nini hasa?
View attachment 232289
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu (kati) pamoja na Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrands Afrika Mashariki, Bw Jawad Jaffer kwa pamoja wakimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga kwa Clouds Fm redio kuibuka na tuzo hiyo ya ubora kwa mara ya tatu mfululizo. Tukio hilo lilifanyika hivi karibuni katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
So what is "Superbrands"?
According to (Superbrands - Wikipedia, the free encyclopedia) The Superbrands organization is an independent arbiter on branding. Its membership programmes pay tribute to the world's leading brands, as selected by experts and consumers. The organization also publishes a series of brand-focused books and publications. Superbrands has launched its programs in many key global markets and has publications in over 86 countries.
Background
Superbrands was founded by advertising executive Marcel Knobil in London in 1994. It began as a radio show on GLR (now BBC Radio London), which was aimed at giving ordinary customers an insight into the significant brands that touched their lives. Due to the success of the show, the Superbrands organization was founded in 1995.
In each country that it operates, it aims to identify brands that perform above and beyond other brands within their respective markets. To facilitate this, each country has an independent and voluntary council, which is made up of notable experts in the branding and marketing communication industry as well as experts from local and international blue-chip organizations. Brands that are rated highly by both the council and consumers are eligible for inclusion in a Superbrands project. Step 1 Study: an independent study elects the strongest brands of the country called Superbrands. Step 2 Reward and Knowledge; Superbrands Seal of Excellence, The Superbrands book. In some countries they also hold seminars and Awards ceremonies.
What is Superbrands and why it is important
Top 20 Best Radio Stations In Africa
Even with the invention of the television, radios have remained a vital part of our lives imagine driving your car without the stereo on. What makes the radio still important is the quality of stations, programs, and presenters that we listen to. Africa has thousands, if not running into millions, radio station all across it. Trying to sift through these numbers to list out 20 best radio stations is no small feat. Having a best radio station is subject to preference, so to avoid having a bias list; we randomly select the top radio stations all over Africa. In no particular order, here are the best radio stations in Africa.
1. Radio Citizen FM FM 106.7, Kenya
2. Peace FM FM 104.3, Ghana
3. Nile FM FM 104.2, Egypt
4. Sheger FM FM 102.1, Ethiopia
5. Breeze FM FM 99.6, Zambia
6. Rhythm FM FM 97.3, Nigeria
7. Clouds FM 88.5 FM, Tanzania
8. Radio Simba 97.3 FM, Uganda
9. Ukhozi FM 90.8 107.4 FM, South Africa
10. Radio Wave FM 96.7 FM, Namibia
11. Chada FM 100.8 FM, Morocco
12. Radio Tiemeni Siantou 90.5 FM, Cameroon
13. ZiFM Stereo 106.4 FM, Zimbabwe
14. Radio Vaovao Mahasoa 106.8 FM, Madagascar
15. Canal A FM 96.5 FM, Angola
16. Metro FM 92.4 FM, South Africa
17. Okay FM 101.7 FM, Ghana
18. Star FM 96.6 FM, Gambia
19. Wazobia FM 95.1 FM, Nigeria
20. SaFM 107.1 FM, South Africa
See More Top 20 Best Radio Stations in Africa. | Network Africa
Niishie tu kusema kwamba, uwepo wenu unatambulika lakini ndio hivyo tena, hamna effect yoyote kwa Clouds FM View attachment 232290 View attachment 232291
Wakae kuyazungumza ili iweje? Yote kukufurahisha wewe? Hahaha wabongo hamuishi vituko. Jide keshakula yamini kuwa hata akifa wasikanyage, na wakionekana msibani kwake wapigwe mawe sasa unaanzia wapi kujikomba kwa mtu wa namna hiyo? Acha utoto wewe.
Hapo hakuna cha utoto wala nini sema mnakuza mambo! Wao walikuwa wanafanya album review ya Mwana-FA unfortunately moja ya wimbo ambao ulipigwa ni huo wa Alikufa Kwa Ngoma ambao Jide ameingiza sauti yake! Sasa huwezi kusema wimbo mzima usipigwe kwa sababu ya chorus aliyoingiza Jay Dee ambayo kila chorus haifiki hata sekunde 30... yaani uache wimbo wote kisa itaonekana unafanyika utoto!? Come on dude, hata wewe mwenyewe am certain huwa unasikiliza wimbo na ukifika sehemu ianyozingua, una-forward au una-mute! That's one, aidha, kwamba ku-scratch ni utoto kwa sababu tu sehemu iliyokuwa scratched inamuhusu Jide ni hoja isiyo na maana yoyote coz' mara kibao tu, nyimbo mbali mbali, huwa scratched or muted kwa sababu mbalimbali kama vile labda kipande husika kina lugha isiyofaa kwa jamii n.k! So, for Clouds, moja ya sababu ndo hiyo... mtu asiyetaka kazi zake zisikike, unapiga ukucha tu... huwezi kuacha wimbo mzima kwa ajili ya mtu mmoja!! Hapa hatutaki mambo ya nyama ya kitimoto haramau lakini mchuzi wake sawa tu!!!Unachanganya mada mkuu,jikite kwenye utoto unaofanywa na clouds hizo beef achana nazo.....wasanii wanajua kama kituo hiki hakipigi kazi zetu basi vituo hivi vinapiga kazi zetu,gazeti hili kama haliandiki kazi zetu basi magazeti haya yataandika kazi zetu,kama wameamua kutopiga wasipige kabisa mambo ya ku-mute na kuskrachi ni utoto.
Wakae kuyazungumza ili iweje? Yote kukufurahisha wewe? Hahaha wabongo hamuishi vituko. Jide keshakula yamini kuwa hata akifa wasikanyage, na wakionekana msibani kwake wapigwe mawe sasa unaanzia wapi kujikomba kwa mtu wa namna hiyo? Acha utoto wewe.
Masoud Kipanya na Fina Mango hawakusepa bali walitimuliwa! Kulikuwa na siku walitakakufanya interview na Balozi wa US pale Ubalozi... sasa katika mambo ya setting, microphone hazikukaa sawa kwahiyo the whole thing turned into shit! Kutokana na hilo, Maosud na Fina waka-mind, wakaweka mgomo na wakaambiana siku ya pili wasiende kazini kama njia ya kuonesha kuchukizwa kwao na technical problem ambayo ilitokea! Nadhani Clouds wakatafsiri kwamba wamechukua uamuzi huo kv wanajiona stars... WAKAWATIMUA! Kwahiyo hawakuondoka wenyewe!!
Haya sasa, Clouds ndo hao... tuwaite majina yote tuyatakayo! What about IPP wasiotangaza habari za Yusuf Manji?
Hivi wewe na wenzako mlifuatilia lile bifu au mnaongea tu? NI mara ngapi Ruge alinukuliwa akimuomba Jide wakutane nae ili wayamalize? Jide alijibu nini? Sio huyo huyo Jide ndie alijibu hana muda wa kukutana nao na hapo akatangaza kwamba Clouds wasipige nyimbo zake na hata akifa habari za kifo chake wasitangaze na Kusaga pamoja na Ruge wasikanyage kwenye msiba wake wake??!! Sasa pamoja na yote hayo, bado mnawalaumu Clouds, kwa lipi? Au kwavile hiyo nyimbo siyo ya Jide kwahiyo wangepiga tu? Hivi mtu aliyefikia hadi kutangaza kwamba siku akifa Kusaga na Ruge wakithubutu kukanyaga msiba wake, ataona taabu gani kutaka wale alioshirikiana nyimbo zao wafute sehemu alizoimba yeye kwa sababu tu Clouds waliiavchia hewani sehemu husika?Pamoja na hayo yote mnayojivunia acheni mambo ya kipuuzi kama hayo yaliyoelezwa na mleta mada. Si busara, si hekima kutumia taasisi kama yenu kuendeleza bifu na mtu binafsi. Ugomvi uwe kati yenu uso kwa uso sio kuhusisha wasikilizaji wa radio yenu. Kazi mojawapo ya vyombo vya habari ni kuelimisha na kuburudisha jamii (wasikilizaji). sasa mambo kama hayo yalielezwa hapa yanasaidia nini. Hakuna elimu, hakuna burudani kama baadhi ya sehemu ya wimbo mna mute. Onyeshen professionalism kwenye media zenu. After all unapokosolewa na msikilizaji wa radio yako ujue kuna tatizo. Ni vema ukalifanyia kazi lile unalokosolewa badala ya kuja na picha za vyeti vya tuzo, au ushahidi kuwa radio ipo top 20 africa, au story za kuwa radio inawasikilizaji milion ngapi. Heri kuongeza wasilikilizaji kuliko kupoteza msikilizaji hata kama ni mmoja.
Kwani JIDE kashafariki? yeye alisema akifa Clouds isipige nyimbo zake, sasa Hajafa!! na hakusema kuwa nyimbo alizoshirikishwa nazo zisipigwe au ziwe muted akiwa hai au akiwa amefariki! huu ni ushamba tu wa Ruge mutaaba na clouds fm,
Kwanza, nilitegemea hiyo media itafute usuluishi na JD!
Umetumia vigezo gani kusema kwamba radio imeyumba? EFM waliingia na mwara wa kuchukua cream presenters kwenye kila idara... imechukua wangapi ambao ni cream kutoka Clouds? Sasa huyo Hando unayemuona mjinga, unamlinganisha na nani aliyetoka kwa kuona Clouds inayumba?kuanzia pale, umeona redio ilivyoyumba? hando alibaki, lkn mimi nilimuona mjinga sana