TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,690
- 11,028
Wakuu,
mimi ni mdau mzuri tu wa clouds, nawapongeza kwa kazi nzuri wanayofanya kwenye baadhi ya vipindi kama leo tena, pwer breakfast na vipindi vya bongo fleva. pia nawapongeza kwa kuweza kuwa one of the popular city stations katika umri mdogo sana
Ila nasikitika sana ninaposikia vipindi vifuatavyo;
Kile kipindi cha usiku na loveness diva - she is not a good inspiration and educative to young age, hana moral wala professional ethics
Kero kubwa zaidi ni kile kipindi cha gospel track kila jumapili - huyu muandaaji inaonekana ana CD moja tu ambayo huipiga kila jumapili, yani imekua hata rahisi kutabiri the next song; inaonekana hafanyi kazi yake ipasavyo, hatafuti nyimbo wala history ya miziki anayopiga na pia labda yuko kwenye payroll ya msama. Huyu muandaaji wa kipindi hiki ndiyo kero yangu kubwa sana clouds... havuki mipaka, he is predictable and lacks DJs quality
mbadilisheni au futeni kipindi... angalieni for the past four sundays mmepiga miziki ipi, let alone the whole first 100 days za 2010