..Nilesh tajiri wa kihindi wanayedai amempa fedha Heche amekanusha kufanya hivyo.
..pia huyo tajiri amesema yeye ni Ccm kindakindaki na alimchangia Mama Samia mi 500.
..kwa kweli Ccm imevamiwa na watu wajinga ambao wanaweza kukizamisha chama chao, pamoja na nchi.