Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

Unamtuhumu mtu kwa uthibitisho upi?
September 15 kwenye baraza kuu uthibitisho wote wa rushwa za makamu mwenyekiti wa chadema taifa utawekwa wazi gentleman πŸ’
 
Report ya CAG imefanyiwa kazi?
 
Wanashindwa kuhoji ubadhilifu wa Fedha za serikali kupitia ripoti ya CAG wanatumika kama ndom
 
Wameshindwa kuwajibika majizi na mafiaadi waliotajwa kwenye report ya CAG sembuse Heche ambae hata wewe mwandishi hujui pesa aliyokula.
 
kwa staili hii ya uchafuzi naona kama wanamsafisha HECHE na kumfanya apendwe zaidi na kumpandisha mno kwa wananchi, wasome majira na mtizamo wa waTanzania kwa muktadha wa sasa kisiasa.
 
Oscar alikua MWANAHABARI WA CCM
akifanya kazi katika magazeti ya Uhuru kwa usihangaike naye sana
 
anyway,
heche ni Mal rushwa wa kiwango kibaya sana, huenda chadema wasingegundua mapenzi, angefanikiwa kutafuna kila kitu cha chama kwa faida yake binafsi na familia yake.

In fact,
amefanya kosa baya zaidi kwenye maisha ya binadamu πŸ’
Lete evidence mkuu... unadhani serikali ingekuwa na ushahidi ingelaza damu
 
Kumbe sio kosa na unalijua Hilo

Safi Sana , so kwanini kizimkazi nayeye asiruhusu uchunguzi huru kutoka jumuia ya kimataifa ili waweze kuchunguza Kuhusu mauaji yaliyo fanyika dec29 !?

Kinacho wafanya wakatae Hilo ni nini !?
 

Attachments

  • Screenshot_20260713-110502.jpg
    25.9 KB · Views: 5
Kumbe sio kosa na unalijua Hilo

Safi Sana , so kwanini kizimkazi nayeye asiruhusu uchunguzi huru kutoka jumuia ya kimataifa ili waweze kuchunguza Kuhusu mauaji yaliyo fanyika dec29 !?

Kinacho wafanya wakatae Hilo ni nini !?
Yaani Ted Cruz au David McAlister kutoka huko anakotoka, halafu eti aje achungulie uvunguni mwa kitanda changu kuna nani kana kwamba mimi mwenye kitanda siwezi?🀣

vibaraka bana dah 🀣
 
Wote wanaosema heche kapiga pesa hawataji ni sh ngapi na hawasemi zimetoka wapi

wote wanao sema Heche kala hela wanaliwa vinyeo. Tutawachunguza asante. Ila kama bado marinda yapo tuwapige miti. Yubera wochi yua bakii mamba 24 πŸ”₯πŸ₯‚ 🀣
 
Yaani Ted Cruz au David McAlister kutoka huko anakotoka, halafu eti aje achungulie uvunguni mwa kitanda changu kuna nani kana kwamba mimi mwenye kitanda siwezi?🀣

vibaraka bana dah 🀣
Umeona Sasa !!! Sehemu kubwa ya maisha ya binaadamu Yanaendeshwa na ubinafsi kile ambacho wewe unagoma kufanyiwa ndio ambacho huyo mnayetaka achunguzwe nayeye hawezi kukubali kukifanya 🀣🀣🀣

So kama Kwa kutulia

Wanasiasa wanawachezea Akili tu ,
 
siasa ni maisha gentleman,
sio kuchezeana akili wala nini πŸ’
 
Hela za Tone Tone tumetoa sisi anayelalamika ni Oscar,, Kwann asilalamikie ubadhirifu kwenye Ripoti ya C.AG,,, au amualike huyo Heche hapo studio amuhoji??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…