Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

kwani Serikali inahusika je na mambo ya ubadhilifu wa ndani ya chama cha chadema? nieleweshe

Ngoja tuone mpka mwisho
Sitaandika sana, nisije nikaharibu kibarua changu. Ila elewa kwamba huyo/hao wahusika wangekuwa wamefanya huo ubadhilifu wasingeachwa huru hadi sasa.
 
Huyu Heche anawapelekea moto mnapoteana hivo, mwamba akitoka si ndio mtapoteana kabisa..

Heche, pesa ni zetu sio zao, wasikutoe mchezoni, mbona ruzuku ambayo ni halal kisheria hawakupi?
anapeleka motro wa kifisadi pesa za chadema ili ajikomboe kiuchumi uchimi sio gentleman?🀣
 
Uwe unasoma ulichokiandika kabla ya kupost mkuu, angalia makosa yaliyojitokeza kwenye uandishi wako.
nadhani huo ni wajibu wa ninyi walimu kudeal na hizo mambo,

but,
bilashaka yoyote athari za kudhulumu uhai wa mfanyakazi wake kwasababu tu ya pesa, zimeanza kumtokea puani,

na huo ni mwanzo tu,
malipo ni hapa hapa duniani gentleman πŸ’
 
Muwe mnamuogopa Mungu, ukweli mnao mioyoni mwenu.
R.I.P dereva
 
Pia uchunguzi ufanyike na Kwa Abdul .
Kuna tuhuma nying juu yake kununua wapinzani, kulipa magenge ya watu mtandaoni (machawa)na Kuhonga wana harakati nk.

Hizi ni shutuma kubwa sana. Tunaomba uchunguzi huru.
 
Wana wivu utadhani wao ndo wamechanga. Mi nimemtumia Heche laki Moja asubuhi hii nimemwambia kanywe bia mwenye wivu ajinyonge.
 
Wakamchunguze abduli hayo mabilioni kayatoa wapi wakati Hana biashara yeyote zaidi ya cheo Cha mamake.
 
Pia uchunguzi ufanyike na Kwa Abdul .
Kuna tuhuma nying juu yake kununua wapinzani, kulipa magenge ya watu mtandaoni (machawa)na Kuhonga wana harakati nk.

Hizi ni shutuma kubwa sana. Tunaomba uchunguzi huru.
hakuna haja ya kubadili mjadala mahususi mezani gentleman, unless uandike uzi mahususi kuhusu hiyo porojo yako na itapendeza zaidi πŸ’
 
Muwe mnamuogopa Mungu, ukweli mnao mioyoni mwenu.
R.I.P dereva
huenda msabato heche angekua ana muogopa Mungu, asingedhulumu uhai wa mfanyakazi wake kwasababu tu ya pesa,

Angalia sasa ufisadi unavyomuumbua hadharani πŸ’
 
huenda msabato heche angekua ana muogopa Mungu, asingedhulumu uhai wa mfanyakazi wake kwasababu tu ya pesa,

Angalia sasa ufisadi unavyomuumbua hadharani πŸ’

Kuna muda natafakar hoja zako unazotoa na kujibu humu na sipat uhakika kama ww ni timam kichwan.

au pengne pia ni mtoto mdogo na hufuatilii taarifa na unakurupuka tu kujibu chochote unachohisi ww kichwan.

Heche anadhulumu uhai wa Dereva wake kwa sababu ipi?.
yaan unataka kumsingizia na Hili 😊😊😊😊.

NB:
Dereva aliyefariki ni dereva wa Heche kwa miaka 20 mfululizo.
Miaka yote hiyo familia ya Dereva inakula kwasababu ameajiriwa na Heche. Familia iko hai na watoto wanakula na kusoma kwasababu ameajiriwa na analipwa na Heche.

Hajawah mdhulumu fedha kwa namna yoyote. Leo aje amdhulumu uhai wake?.

Wako watu ambao wanadhulumu uhai . Na unawajua.
 
ikiwa mtu ni timamu na muerevu,
huwezi kumkuta akibabaika au kujipiga kifua kwa mihemko na makasiriko jukwaani, bali anatoa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine jukwaani.

iko wazi gentleman,
na haihitaji rocket science kuelewa kwamba ni heche ndio aliehusika moja kwa moja dhidi ya dhuluma ya uhai kwa mfanyakazi wake.
Kulikoni heche ampe mfanyakazi wake mamilioni ya pesa akalale nayo kwenye gesti ya sh.elf3, hali ya kua yeye heche alikua akilala hotelini tena ghorofani? Kwanini asilale na hayo mamilioni hotelini?

Gentleman,
Malipo ni hapa hapa duniani, hili la ufisadi ni mwanzo tu πŸ’
 
Boss wako Abdul amemshindwa Heche.

Ww chawa wa kiwango cha chini unatakiwa kudeal na kina Civilian Coin . Ndio akil zinafanana.

Basi nikuambie tu kuwa madereva wote wa Viongozi huwa wanalala kivyao na wanapojua wao. Hawaamuliwi na maboss zao.

Kwakuwa ww ni dogo wa miaka 18. Hili na lenyewe ulikuwa hujui.
 
tuliza mihemko na makasiriko jikite kwenye hoja mahususi mezani kwa kurilax, hakuna haja ya kuweweseke na porojo gentleman πŸ’
 
tuliza mihemko na makasiriko jikite kwenye hoja mahususi mezani kwa kurilax, hakuna haja ya kuweweseke na porojo gentleman πŸ’
sijawah wala siwez pata jazba kwa hoja zako. Ni mfu sana.

Mm nakujibu tu kukuelewesha. Na kukuambia ukweli.
 
huenda msabato heche angekua ana muogopa Mungu, asingedhulumu uhai wa mfanyakazi wake kwasababu tu ya pesa,

Angalia sasa ufisadi unavyomuumbua hadharani πŸ’
Unamtuhumu mtu kwa uthibitisho upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…