Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.
Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.
Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Kamhoji mamakoKwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?
nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.
So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless π
Economist, umeandika ukweli mtupu na nakuunga mkono kwa asilimia mia moja. Huu ni mkakati wa wazi kabisa wa kutumiwa na makundi ya kisiasa nje ya CHADEMA kupiga propaganda za kijinga zisizo na ushahidi.Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.
Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.
Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Kiboko ya Mazwazwa, mkuu taratibu, mama yake hana kosa kwa ujinga wa huyu chawa! Kosa kubwa la mama yake ni vile tu hakutumia kondomu au kumlazimisha mshua amwage nje. Angetupunguzia sana matatizo ya kusikiliza pumba zake hapa kama angetumia tu kondomu siku ile walipofanya sexexercise. πππKamhoji mamako
Hawa, ni, kenge tu, wapo kuanzia bungeni kibajaji, Baba levo,Makonda, ni, wasema hovyo tu,Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.
Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.
Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Sa clouds kuna weledi mule?Nimewasikiliza watangazaji wa clouds wakishupalia Heche achunguzwe kwa kubugia mamilioni ya fedha za CHADEMA. Huyu mtangazaji anaitwa Oscar akashupalia kwamba Heche akubali kuchunguzwa kwa ubadhirifu. Cha kushangaza Oscar hajataja kiasi kilichoibiwa au kiasi kilichochangwa.
Naona Kuna kundi kubwa hata nje ya CHADEMA linalotumika kumuangusha Heche. Lina piga propaganda bila vielelezo. Kama mtu amekula pesa si mseme ni shilingi ngapi?. Na pia mseme hiyo pesa iliyoliwa imetoka wapi na ilitumikaje na Heche.
Nimalizie kwa kusema Clouds and Oscar you are very stupid.
Mkuu huwezi kuamka tu na kuanza kusema "Mkuu wa Mkoa wa Mbeya achunguzwe".... lazima uwe na angalau kitu cha kuanzia. Heche kaiba pesa zipi? kwa namna gani? Ni kiasi gani? Zilikuwa wapi? At least watupe kitu cha kuanzia.Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?
nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.
So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless π
Mpaka sasa mmefanyia uchunguzi n nani alihusika kuua watu 29 October?Kwani watu wakiwa na mashaka na jambo fulani dhidi ya mtu fulani, wakitaka uchunguzi ufanyike ili kuhoji na kujiridhisha ni kosa?
nadhani hiyo inaweza kua ni faida kwa jamii yenye mashaka nae, lakini pia ni faida kwa anae chunguzwa ikiwa tuhuma zimekosa ushahidi usio na shaka.
So ,
ni vizuri kugeuza changamoto zikawa fursa ya kujirekebisha, kujisahihisha, kujipanga upya na kufanya vizuri zaidi mbeleni, kuliko kujipiga kifua kindezi ndezi tu kwa mihemko na hisia mseto useless π
... 'Sexexercise', msamiati mpya huu.Kiboko ya Mazwazwa, mkuu taratibu, mama yake hana kosa kwa ujinga wa huyu chawa! Kosa kubwa la mama yake ni vile tu hakutumia kondomu au kumlazimisha mshua amwage nje. Angetupunguzia sana matatizo ya kusikiliza pumba zake hapa kama angetumia tu kondomu siku ile walipofanya sexexercise. πππ