Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,065
- 27,480
Watalia leo kimya kimya.. ila walalamike tena.. maana wanatupa kicheko
Ha ha haaaaaa
Upinzani ni kituko nchini hapa.. hadi wanatia huruma.
Watalia leo kimya kimya.. ila walalamike tena.. maana wanatupa kicheko
Ha ha haaaaaa
Upinzani ni kituko nchini hapa.. hadi wanatia huruma.
Hehehe kwani nyie hamna mikono ya kutengeneza hayo magari? Au ni jubilee ndio imetengeneza chadomo mna akili finyu sana hilo suala hata wewe kama chadomo unatakiwa ujisikie aibu sababu na wewe ni mtanzania hata hivyo jeshi letu lina magari yake yanaitwa nyumbu katafute
Sio ramli,TBC imedorora sasa!!Hata matangazo ya kibiashara hawapati zaidi ya kurusha harusi tu za watu!Ulichokiandika ni ramli kama waganga wa kienyeji,
Kwani hujui kama Ruge ni mtoto wa Magufuli hadi anamwita majukwaani au unajitia uchizi tuWasela ma.vi hao ., unajua wanaweza haribu biashara ya Ruge kwa ajili ya upumbavu. Kila mtu anaitikadi ila kwenye biashara kama hiyo unajidai kujificha ili usipoteze wateja wa aina fulani.
Hivi huyu Ruge hana wataalamu wa masoko anakubali huo usen.ge studio
Nafasi za teuzi bado tunazo kwa hiyo kuna njia nyingi za kuonyesha ufia chama ili kunufaikaWasela ma.vi hao ., unajua wanaweza haribu biashara ya Ruge kwa ajili ya upumbavu. Kila mtu anaitikadi ila kwenye biashara kama hiyo unajidai kujificha ili usipoteze wateja wa aina fulani.
Hivi huyu Ruge hana wataalamu wa masoko anakubali huo usen.ge studio
Kwani hujui kama Ruge ni toto la Magufuli?Kama ni kweli, hakika sitarajii kama Ruge anaweza kuacha ujinga kama huo ufanyike bila kuchukua hatua.
Sio Ruge ninayemfahamu mimi.
Kwani mashambulizi ya jana yalihusu Dar Young Africans?.......kulikoni tena furaha yangu unaigeuza chuki!!Sare za Yanga nini mbona ujasema za Yanga angalia aina ya rangi ya kijani aliyovaa ndio Mnaovaaga ccm tumia akili acha kuonyesha chuki wazi wazi kwa watu
Haya wasalimie jangwani!Hivi rangi ya kijani na njano ni za ccm tu? Hakuna wapenzi wa yanga wanachadema au cuf?
Hahaha uwiiiHahahaa....... bado hawajaamka!
Na PHD ya mitusiWaongeze povu sasa
Yaani leo hii unahoji utaalam wa masoko wa ruge! ! Unajua clouds ilikotokea na jinsi ambavyo huwezi kutenganisha ruge na clouds?Wasela ma.vi hao ., unajua wanaweza haribu biashara ya Ruge kwa ajili ya upumbavu. Kila mtu anaitikadi ila kwenye biashara kama hiyo unajidai kujificha ili usipoteze wateja wa aina fulani.
Hivi huyu Ruge hana wataalamu wa masoko anakubali huo usen.ge studio
Mkuu, ulipewa akili (japo najua akili zako ni ndogo sana) hebu zitumie pamoja na udogo wake kuelewa badala ya kuwa kama dodoki! lugha ya picha inaonekana kabisa hata kwa mtoto wa std 4.Hivi wewe unaakili kila nguo ya kijani ni sare za ccm au tumia akili wewe acha kusambaza chuki baina ya watu
Unaina akili zenu zilivyo pungufu. Umemeguliwa ubongo wewe.? Kwa serikali ipi ufanye hayo!! Sera zipi.? Support ipi ngedere wewe.? Mnakera sana.Hehehe kwani nyie hamna mikono ya kutengeneza hayo magari? Au ni jubilee ndio imetengeneza chadomo mna akili finyu sana hilo suala hata wewe kama chadomo unatakiwa ujisikie aibu sababu na wewe ni mtanzania hata hivyo jeshi letu lina magari yake yanaitwa nyumbu katafute