Kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba Lwakatare kalamba pesa ya maana kutoka kwa magamba ili kukihujumu chama kwa
filamu isiyokuwa na kichwa wala miguu. Naomba uchunguzi wa kina ufanyanywe na cdm ili tujiridhishe kama chama dhidi
ya haya mapandikizi.
Inafika mahali ambapo pesa si kitu cha dhamani sana kwako., katika nafasi kama ya Ng. Lwakatare ameyafahamu mapambano tuliyo nayo., amekwisha pitia mambo mengi nakujiweka hatarini mara nyingi ilikuyatetea yale tunayo yaamini kama misingi ya DEMOCRACY na misingi ya kuundwa kwa CHADEMA.Kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba Lwakatare kalamba pesa ya maana kutoka kwa magamba ili kukihujumu chama kwa
filamu isiyokuwa na kichwa wala miguu. Naomba uchunguzi wa kina ufanyanywe na cdm ili tujiridhishe kama chama dhidi
ya haya mapandikizi.
na kwa sababu yeye ana ukimwi anafikiri kila kitu kina ukimwi chadema haiyumbi hata kwa mawimbi na hata ikifa ccm itavuruga nchi tu.ningekuwa na uwezo ningewapiga ukoma viongozi wote washenzi wa ccmagambakibopa unaishi na ndoto za chama kushika hatamu.ccm ni maiti tayari haiwezi fufuka. Mliosalia na mtindio wa ubongo mnajitahidi ku survive kwa kutumia mbinu za kitoto ambazo sasa zinawatokea puani.mtoa mada kajiunge na shule maalum upate kuondolewa huo mtindio
Ujinga ni kufikiri kuwa CHADEMA
itakufa kutokana na video za You tube... Wakati 90% ya watz hawajui Youtube ni
nini ama hawawezi kuaccess na kupakua
ama kuangalia kinachoitwa video za
mikakati ya kuteka waandishi.