Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,923
- 31,820
Tatizo unakuta anazo Jerry muru nikuachia tu kama nyimbo za ASLAY
π π π π π π π π π
Tatizo unakuta anazo Jerry muru nikuachia tu kama nyimbo za ASLAY
ππko mkuu umeifanya prison break kabxa yanwanao release hizi audio ni mabwege sana.
hawajui namna nzuri ya kucheza na audience yao.
kitendo cha ku release audio mbili ndani ya kipindi kifupi kinadhoofisha ile audio ya kwanza na kufanya series yao yote ionekane ni utoto.
wangekuwa na delay period ya kama wiki mbili au tatu igizo lingeenda vizuri sana.
Mkuu lakini yule si nape kabisa mkuu
Mbona unafeli...Mbona unamuogopa MussibaNGELEJA HIVI UNAKWAMA WAPI BROTHER? WEWE NI WA KUINGIZWA MKENGE NA MAMLUKI NAPE
Unakwama wapi brother? Labda ndio swali la kuanza nalo wakati huu mfululizo wa video zilizoleak kutoka kwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye unavyozidi kuwaumbua vigogo.
Safari hii Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja amenaswa akiteta na Nape kuhusu masuala ya chama na Serikali.
Ngeleja anasikika akiunga mkono waraka wa Kinana na Makamba uliochafua hali ya hewa nchini.
Ndio maana nauliza tena unakwama wapi brother Ngeleja?
Wewe si ndio uliaminiwa na nchi ukiwa mmoja wa vijana wadogo lakini ukapanda hadi kuwa Waziri tena wa Wizara nyeti kama ya Nishati na Madini?
Si ni wewe huyu huyu ukautumia Uwaziri wako kishamba sana ukijinufaisha na kuingia mikataba ya kipuuzi na wawekezaji wa nishati na madini?
Nakumbuka hata sakata la Dowans umo na uliitetea sana kisha ikaja Escrow umo; ambapo ulichota milioni 42. Umesahau?
Katika mazingira tata na ili kujiokoa na Segerea ghafla miaka miwili iliyopita ukatangaza kurejesha fedha za Escrow (baada ya kuzizungusha kibiashara na kuzalisha faida);
Yote haya Serikali tukufu ya Chama cha Mapinduzi imekusitiri haujaenda Segerea.
Leo unakwama wapi hadi uungane na wasaliti wa aina ya Nape kusaliti juhudi za nchi?
Brother unakwama wapi?Je, ulikuwa unajipendeleza tu kwa Nape na Kinana au au ndio kusema nawe umetumwa na mafisadi waliokuwa wanakutumikisha ukiwa Waziri wa Nishati na Madini?
Brother usifeli kirahisi na kizembe hivyo Nape ana faili lake na wewe unafaili lako.
Kila mmoja apambane na hali yake; pambana kuwa mtu wa maana na acha kupambana kuwa mpumbavu.
Yani wewe Ngeleja ni mtu wa kuwa kwenye mipango ya kutala kuipindua Serikali ya Awamu ya Tano?
Kweli?
Yaani ndio umefika hapo brother, simple tu na kizembe zembe hivyo? Dah!
Alamsiki.
.dah aisee najiskia fahari kuwa hapa nilipo mana usiombe yakutokee mwenyewe hahhahaaa.Kama si yeye ni nani sasa?
Nape mwenyewe keshakanusha?
kazi kweli kweli.Na hii tena? Ninapata wasiwasi saasa huku tuendako. Na notifications za windows humo humo.
Yaani flow yao imekuwa staged kabisaaa , Nape usikubali na wewe, tafuta actors uwaundie zengwe maadui zako(unawajua)
.dah aisee najiskia fahari kuwa hapa nilipo mana usiombe yakutokee mwenyewe hahhahaaa.