CLIP: Tristan Thompson cheating on Khloe with two Women

nimeisoma jana insta. i pity her, kama namuona ex gf & baby mama wa tristan anavochekelea.
 
Khloe alikuwaga na tako zuri kweli ila siku hizi kwishaaaa. Wajanja wameondoka nayo, kabakiwa na uso mzuri tu ila umbo la tako hana tena
 
  • Thanks
Reactions: sho
Io ndio karma hufanya khloe mwenyewe alimkuta tristan kamuacha mtu na mimbaa na yeye akawa nae so dunia hii malipo ni apa apa
 
Back
Top Bottom