Clinical officer (ofisa tabibu) looking for job opportunity

Classics

Senior Member
Mar 8, 2017
195
342
Wasaalam wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 27 Mhitimu wa kozi ya Clinical Medicine nimehitimu mwezi wa 2 mwaka huu, naombeni Kwa unyenyekevu mkubwa nafasi ya kazi popote pale ndani ya Tanzania.

Najua tupo hapa kupeana mawazo na kusaidiana changamoto mbalimbali,hivo Kwa yeyote mwenye taarifa za mahali wanahitaji clinical officer naombeni connection za kupata kazi wakuu.

Asanteni

0748685142
 
Haya kipindi cha jk hayakuwepo kabisa..Clinician kuomba kazi..daah..hatari sana.

#MaendeleoHayanaChama.
Kishindo Cha Awamu Ya Tano
Kitawaajili Hawa Wote, Suala Ni Muda
Kule Kilimanjaro Siku Ya Mei Mosi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Alisema Chungu Kikijaa Mambo Yatakuwa Safi
 
Mkuu tupe connection ya temporary kabla ya kishindo chenyewe
 
Omba kazi hospitali za mikoani ndani ndani huko utapata. Wife kamaliza MD, kapata mikoani huko. Japo wanamlipa kiduchu less than thw government salary ila fresh ameanza nayo.
 
Tuma maombi ya barua ya kujitolea, ukipata nafasi piga kazi kwa weledi na uaminifu, kifuatacho utapata ajira.
 
Omba kazi hospitali za mikoani ndani ndani huko utapata. Wife kamaliza MD, kapata mikoani huko. Japo wanamlipa kiduchu less than thw government salary ila fresh ameanza nayo.
Asant Kwa ushauri
 
Njia nzuri kupata ajira kwa sasa hasa hawa benjamin mkapa foundation, kwanza lazima uwe umejitolea, kwa sasa tafuta hospitali au h/c iliyokaribu omba maombi kwa dmo kisha jitolee same time fanya mchakato wa kupata leseni ya mct kama huna, ukiwa wajitolea penda sana kujitolea eneo la ctc, litakufanya uwe up to dates na mambo mengi ya ctc, hiyo itakufanya uwe na confidence hasa ukipata interview, ishu ya connection kwa mtu asie kujua sahau sababu kuna co wengi saaaana mtaani
Asant kwa mawazo
 
Wasaalam wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 27 Mhitimu wa kozi ya Clinical Medicine nimehitimu mwezi wa 2 mwaka huu, naombeni Kwa unyenyekevu mkubwa nafasi ya kazi popote pale ndani ya Tanzania.

Najua tupo hapa kupeana mawazo na kusaidiana changamoto mbalimbali,hivo Kwa yeyote mwenye taarifa za mahali wanahitaji clinical officer naombeni connection za kupata kazi wakuu.

Asanteni

0744801254
Hakuna matata nitakuulizia mkuu, ila usichague sehemu za kufanya kazini!!
 
Njia nzuri kupata ajira kwa sasa hasa hawa benjamin mkapa foundation, kwanza lazima uwe umejitolea, kwa sasa tafuta hospitali au h/c iliyokaribu omba maombi kwa dmo kisha jitolee same time fanya mchakato wa kupata leseni ya mct kama huna, ukiwa wajitolea penda sana kujitolea eneo la ctc, litakufanya uwe up to dates na mambo mengi ya ctc, hiyo itakufanya uwe na confidence hasa ukipata interview, ishu ya connection kwa mtu asie kujua sahau sababu kuna co wengi saaaana mtaani
Sorry ndugu,hv mchakato wa kupata leseni kwa ma CO graduaters ambaye anajitolea sehemu umekaaje?.

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom