Clinical Officer Looking For Job opportunity

Classics

Senior Member
Mar 8, 2017
151
250
Wasaalam wakuu

Mimi ni kijana wa miaka 28 clinical officer Niko mbele yenu kuwaombeni msaada/opportunity connection ya kupata kazi,naamini wewe usomayo bandiko hilo una moyo wa kusaidia kimawazo au connection au kuajiri kabisa

Nina uwezo wa kufanya kazi idara nyingi na Nina uzoefu wa kutosha katika nyanja kama
1.minor surgeries
2.OPD,IPD,Emergency
3.Magonjwa ya watoto,wanawake
nk
4.HIV testing and counseling and managing all medical related condition on HIV

Na pia Niko tayari kufanya kazi kwenye pharamacy or anywhere ambapo knowledge Yang ni applicable

Natumaini jamii forum ina mjumuisho wa watu watu na pia wengi wamesaidiwa na kuja na mrejesho hapa

Asanteni

0748685042
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
23,386
2,000
Sawa
Hapa Hapa Utapata Connection
Serikali Inatangaza Sana Nafasi Za Fani Yako
Jitahidi Uombe, Jukwaa Hili Zometangazwa Nyingi Sana
 

Classics

Senior Member
Mar 8, 2017
151
250
Sawa
Hapa Hapa Utapata Connection
Serikali Inatangaza Sana Nafasi Za Fani Yako
Jitahidi Uombe, Jukwaa Hili Zometangazwa Nyingi Sana
Mkuu Niko makini sana,hapa jukwani kuanzia mwez 4 na kuendelea hakuna ajira yeyote ilitangazwa hapa,naamn wadau wapo na wanauwezo wa kusaidia, asante kwa comment yako nzuri
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,124
2,000
Kwa fani yako tu na ujuzi ulionao,tembelea hospitali 5 za private,zilizopo katika mazingira magumu...utapata kazi
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
23,386
2,000
Mkuu Niko makini sana,hapa jukwani kuanzia mwez 4 na kuendelea hakuna ajira yeyote ilitangazwa hapa,naamn wadau wapo na wanauwezo wa kusaidia,asant kwa comment yako nzuri
Mkuu
Jukwaa Hili Mwezi Wa Saba Zimewekwa Nafasi Nyingi Sana, Kutoka Kwa Mods Anaweka Sema Husomi Hizo Nafasi
Morogoro Kuna Hospital Ilitangaza
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
23,386
2,000
Nakusisitiza Fuatilia Sana Posts Za
Jamii Opportunities
Kila Siku Anaweka Nafasi Za Kazi Nyingi
Nami Kila Thread Yake Lazima Ukute Comments Zangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom