Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
habari wanajamvi
katika harakati zangu za kumpeleka mwanangu clinic,nimehudhuria zaidi ya mara sita katika clinic ya dokta massawe iliyopo hapo moroco karibu na jengo Airtel,na sababu ya mimi kuhuduria ni kutokana na kusikia sifa nyingi kwamba pale ndio kuna maspecialist wa watoto ila cha ajabu nilichojionea kwa muda wote huo ni huduma mbovu pamoja na mazingira machafu tena jengo lisilokua na kiwango wala hadhi ya kuwa hospitali tena ya watoto,jamani hata mazingira ya baa ni masafi,wahudumu wenyewe wanapenda rushwa yani wana njaa.for sure mimi sijaridhishwa na clinic ile hata nimeamua kuhamia kwa dokta amir kariakoo,ninachojiuliza ni kwamba hawa watu wanaoanzisha clinic vichochoroni kwa nini wizara ya afya inawapa vibali pasipo kukagua kama clinic inakidhi vigezo?
nawasilisha