Ndugu, Katika pitapita zangu za youtube nimekutana na kazi ya Mtanzania mmoja kwenye mambo ya filamu fupi yaani SHORT-FILM kwa kizungu, nikaona ni vyema niweke hapa ili na nyinyi mpate fursa ya kuiona.
Kwa kweli amejitahidi sijui nyinyi mnaonaje? sio vibaya kusupport vya kwetu kivyetu.
B.