Climate Change is Real?

Ryan Holiday

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,854
3,874
1589221911209.png
 
kama dunia ilikuwa na mwanzo basi iko siku mwisho utafika ni swala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo ya sayansi na teknolojia pamoja na ongezeko kubwa la watu duniani, yameleta impact kubwa sana kwenye mazingira ya viumbe hai. Sasa hivi wanasayansi wanatafuta njia mbadala ambayo itazaa matunda ya kukabiliana na janga la climate change pamoja na global warming. I think COVID-19 it's one of the strategy, to control total number of people global (Tetesi).
 
Siku ukiwa na uhakika na hiki ukicho tuandikia hapa uje kutuwekea ushahidi.
 
Unataka ushahidi gani haswa?
Wa vyote ulivyo viandika halo juu nilipo kunukuu,yaani :

1. Uwepo wa Global Warming na Climate Change, kuwa vinasababishwa na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia.
2. COVID-19 kama hatua za ku control idadi ya watu duniani.
 
karibu darasani👍
 
Naanza na swali lako la kwanza, kwa jinsi gani maendeleo ya sayansi na teknolojia yamechangia sana kwenye mabadiliko ya tabia nchi pamoja na ongezeko la utoaji hewa ukaa. Kwanza lazima uelewe kwamba maendeleo ya sayansi na teknolojia huenda sambamba na increase of heavy manufacturing industries kwa sababu ya kutanuka kwa teknolojia, automatically kuna kuwa high increase demand of raw materials assume hizo raw materials ni madini ya chuma. Kwa hiyo itaongeza rate ya uchimbaji wa madini chuma hili kukizi demand ya raw materials zinazohitajika na heavy industries.

Twende kwenye mazingira
Kumbuka kwamba raw materials ni madini chuma, nafikiri unaelewa upatikanaji wa madini chuma (mgodini). Na hizi ni negative impact za mgodi katika mazingira.

1. Destruction living organism habitat. For example birds habitat
2. Release of toxic chemicals into the environment. Such as cyanide and mercury
3. Deforestation.
4. Desertification.
5. Soil Erosion.
6. Uses Heavy Trucks (For Ore Extraction) that lead to dust pollution and Green house gas emission.

Na nyingine nyingi tu mkuu. Hapo nimekupa impact zinazopatikana kwenye utafutaji wa raw materials tu, bado transportation na mwisho kabisa (end product). 🔜🔜🔜🔜🔜
 
Endelea kaka mkubwa kushusha vitu, kuna maswali nataka nije nikuulize.

Basi sawa mkuu ngoja niendelee kidogo niliishia kwenye Negative Environmental Impact zitokanazo na shughuli za mgodi.

Transportation Phase
Ore baada ya kuchimbwa inatakiwa isafishwe lakini tuassume zoezi la kusafishwa tayari kilichobakia ni pure 99% iron. Baada ya hapo inatikiwa isafirishwe kutoka Sehemu A ambapo ni machimboni na kupelekwe Sehemu B ambapo ni kiwandani. Nyenzo za usafiri unazijua (Lori,Hydra, Forklift, Ndege, Helicopter) hivi ni vichache kati ya vingi. Focus kubwa ni kwamba hili (Lori, Helicopter, Forklift, Ndege, Hydra) zitembee zinahitaji mafuta, kama vile mwanadamu anavyohitaji maji na end product ya mafuta ni GHG emisssion (GREENHOUSE GAS).

How GreenHouse Gases lead to Greenhouse Effect? You can look at the Diagram below.
1589308106091.png
 
Naanza na swali lako la kwanza, kwa jinsi gani maendeleo ya sayansi na teknolojia yamechangia sana kwenye mabadiliko ya tabia nchi pamoja na ongezeko la utoaji hewa ukaa. Kwanza lazima uelewe kwamba maendeleo ya sayansi na teknolojia huenda sambamba na increase of heavy manufacturing industries kwa sababu ya kutanuka kwa teknolojia, automatically kuna kuwa high increase demand of raw materials assume hizo raw materials ni madini ya chuma. Kwa hiyo itaongeza rate ya uchimbaji wa madini chuma hili kukizi demand ya raw materials zinazohitajika na heavy industries.

Hivi mfano mabadiliko na matarajio ya mwaka huu juu ya mvua hizi za hapa mjini dar unaweza kututhibitishia zimesababishwa na nini ? Maana tumeona mvua zimenyesha sana kipindi hiki cha hivi karibuni.
Twende kwenye mazingira
Kumbuka kwamba raw materials ni madini chuma, nafikiri unaelewa upatikanaji wa madini chuma (mgodini). Na hizi ni negative impact za mgodi katika mazingira.

1. Destruction living organism habitat. For example birds habitat
2. Release of toxic chemicals into the environment. Such as cyanide and mercury
3. Deforestation.
4. Desertification.
5. Soil Erosion.
6. Uses Heavy Trucks (For Ore Extraction) that lead to dust pollution and Green house gas emission.

Na nyingine nyingi tu mkuu. Hapo nimekupa impact zinazopatikana kwenye utafutaji wa raw materials tu, bado transportation na mwisho kabisa (end product). 🔜🔜🔜🔜🔜
Sasa athari hizi zina uhusiano gani na mabadiliko ya tabia nchi, maana naona hujaweka uhusiano na kwa vipi vina athiri tabia nchi ?
 
Hivi mfano mabadiliko na matarajio ya mwaka huu juu ya mvua hizi za hapa mjini dar unaweza kututhibitishia zimesababishwa na nini ? Maana tumeona mvua zimenyesha sana kipindi hiki cha hivi karibuni.

Sasa athari hizi zina uhusiano gani na mabadiliko ya tabia nchi, maana naona hujaweka uhusiano na kwa vipi vina athiri tabia nchi ?
Hizi athari za mvua kubwa pamoja na mafuriko ni moja wapo ya dalili za climate change.Kutokana na kuvurugika kwa mfumo wa Hydrological Cycle. Kwa sababu ya ongezeko la joto lilosababishwa na global warming linafanya ongezeko la evaporation process katika maziwa, mito, bahari pamoja na bwawa nakufanya ongezeko kubwa la maji katika atmosphere na baadae hayo maji ya kiundergo further process yanasababisha kitu kinachoitwa Heavy Rains. Heavy Rains ikikutana na bare land or surface automatically flooding inatokea.
 
Back
Top Bottom