Ninyi wasanii na ma audio producers aheni sasa "AUTO TUNE" ni ushamba uliopitwa na wakati na nilikelelezo cha msanii kutokujua kuimba au kuimba out of tune na hivyo kufukia mabonde na hayo matakataka ' OUTOTUNE" muziki wa bongo unashindwa kuvuka mipaka kwa sababu produser bila kubonyeza kitufe cha outotune basi hajaridhika . Tubadilike ili umwambie mtu wazi kama sauti yake haifiki kwenye note husika akafanye kazi nyingine au aende bagamoyo kujifunza do -re-mi-fa-so-la-ti-do na sio kungangania muziki tuu