Cleopa Msuya awafuata Lowassa na Sumaye?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Wadau ktk kipindi cha mapitio ya magazeti leo asubuhi kinachorushwa na wapo radio, kuna gazeti limeandika Msuya awafuata Lowasa na Sumaye. Sikusikia jina la gazeti so naomba yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu habari hii anijuze. Ahsante.
 
Sasa North Zone tumekamilika.. Kitakachofuata ni kupigania nchi yetu. Potelea mbali
 
Hajawafuata kwa maana ya kuhama chama. Aliilamikia CCM na kuwataka kujitathimini kwanini chama hakikupata ushindi mkoani Kilimanjaro. Ametaja rushwa, ufisadi na uchakachuaji miongoni kwa viongozi wa chama.kama.sababu kuu. Amelalamikia viongozi wa CCM kwamba baadhi yao walichangia kwa kukihujumu chama.
 
DSC00063.jpg
 
Msuya ameenda kuimarisha ccm sio kahamma chama ni hasim wa el
 
mda si mrefu tunaanzisha North empire, ngoja nijiandae kuhamie.yaani wana arusha pamoja na jitihada za magufuli kukonga nyonyo za watanzania bado wamethubuti kumchagua lema! yaani wanaamini CCM yale anayofanya magu ni manzingaombwe
 
kilichoiua ccm ni kuendekeza kauli za kibaguzi za vijana wajinga rais hatatoka kask
 
Hajawafuata kwa maana ya kuhama chama. Aliilamikia CCM na kuwataka kujitathimini kwanini chama hakikupata ushindi mkoani Kilimanjaro. Ametaja rushwa, ufisadi na uchakachuaji miongoni kwa viongozi wa chama.kama.sababu kuu. Amelalamikia viongozi wa CCM kwamba baadhi yao walichangia kwa kukihujumu chama.
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi unaojitosheleza, ahsante!
 
mda si mrefu tunaanzisha North empire, ngoja nijiandae kuhamie.yaani wana arusha pamoja na jitihada za magufuli kukonga nyonyo za watanzania bado wamethubuti kumchagua lema! yaani wanaamini CCM yale anayofanya magu ni manzingaombwe
Mi mmoja wapo!
 
Hajawafuata kwa maana ya kuhama chama. Aliilamikia CCM na kuwataka kujitathimini kwanini chama hakikupata ushindi mkoani Kilimanjaro. Ametaja rushwa, ufisadi na uchakachuaji miongoni kwa viongozi wa chama.kama.sababu kuu. Amelalamikia viongozi wa CCM kwamba baadhi yao walichangia kwa kukihujumu chama.
Hakuna kuanguka mtini na kuteremka. Ukishaanguka chini tayari umeteremka!
 
Back
Top Bottom